chakufia nini
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 692
- 456
kama ningekuwa hakimu,na hata kama sheria ingekuwa imelalia upande wake,ningepindisha tu ilimradi ashindwe kesi.
msaada:naomba kujua toka kwa wanasheria hivi sheria inasemaji kuhusu hali kama hii?nimeshuhudia machangudoa wakikamatwa na kufikishwa mahakamani,hivi huu si zaidi ya uchangu?