baharia 1
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 1,778
- 2,052
Habari zenu, hivi hii inanitokea mimi tu au
Hivi kwanini mimi nikikosa hela mfukoni kabisa au hata kwenye akaunti, napatwa na hali hii
Naanza kuumwa kabisa, homa ya ghafla inanishika, naanza kutetemeka, nakuwa mnyonge sana.
Mawazo hayaishi, nakosa amani kabisa. Nikipandahata kitandani kulala, usingizi hauji hata kidogo.
Nakuwa na hasira nyingi, mkali sana, namjibu mtu hovyo, na wakati mwingine natamani kulia tuh nakuwa kama kichaa sio kichaa.
Nikipata pesa sasa
: 
Lakini la kushangaza ikatokea tu nikapata hela, hata iwe siku hiyo hiyo,
Mwili unakaa sawa mara moja, Ghafla ninakuwa na furaha muda wote, mtu akinipa swali namjibu kwa furaha, na amani ya moyo inarudi! Hali yote inabadilika papo hapo

Hivi wakuu ni mimi tuh au