kukosa mkopo mtu wa pharmacy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kukosa mkopo mtu wa pharmacy

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by my life, Sep 21, 2012.

 1. m

  my life Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani naombeni msaada wenu wa kimawazo nimechaguliwa pharmacy muhas but sioni jina langu nifaneje wapendwa
   
 2. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Duh!! Pole sana..uliangalia jina lako katika ile list ya waliokosea kujaza form zao..?
   
 3. e

  enoc Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wewe mkopo hupo angalia reserve lonee rist kama utakua haumo bac fika bila kuchelewa hapo msasan main kampac ya bod
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Wote hawakupata mikopo , hata wa medicine kama you are not that needy!
   
 5. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hawa heslb watakua wanafanya vitu ambayo havieleweki maana according to their guidelines and criteria of loan issuance mwaka huu pharmarcy ni moja kati ya program saba ambazo zina 100% loan award,so jaribu kuangalia kama upo kwenye list ya waliokosea if not so fika ofisi zao!
   
 6. K

  Kiny JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Pole sana ndugu yangu hatua ya kwanza angalia hile list ya tcu ambayo wametoa majina na vyuo vyote hukikosa nenda kwenye reserve list ya heslb hukikosa wapandie mjengoni kule wanakopaita Complex msasani kimweri road huku ukimtanguliza Mungu mbele awa jamaa wanaitaji maombi.
   
Loading...