Kukosa mkopo, kutengwa na marafiki!

Kebara

Member
Oct 2, 2011
9
1
Ukosefu wa mkopo tayar umesha determine who is real friend, and who is not! Mi nimeshaona! Ama kwel pata pesa tujue tabia yako! Yaan jamaa walokuwa wakaribu hata ukimpigia hapokei anahib utamwomba! Na yule unaemwomba atakuambia cna helaaa.... Ok poa, acha nile msoto, urafk baadae!
 
Hata wengine wajifanya kuwa karibu wakisikia huna mkopo anakupoteza hizi pea za pesa hii ndo Tz. Tukomae mkuu mazuri yatakuja.
 
Kaka naona ulikuwa unasikia tabia ya mtu ukitaka kuijua mpe pesa,umejionea sasa? Na hapo bado upo chuo ngoja umalize ndio utashuhudia mengine zaidi.
 
Guys are so insane when comes to money possession. Mi nsha usoma mchezo na nimeamin kwa kuona kusikia.
 
Kama kuna watu wa aina hiyo, japo sijawahi kukutana nao watakuwa hawana akili. Ni wageni wa pesa.

Kama laki sita zinakuchanganya kiasi kwamba unaona marafiki hawana dhamani, una matatizo!
 
Ukosefu wa mkopo tayar umesha determine who is real friend, and who is not! Mi nimeshaona! Ama kwel pata pesa tujue tabia yako! Yaan jamaa walokuwa wakaribu hata ukimpigia hapokei anahib utamwomba! Na yule unaemwomba atakuambia cna helaaa.... Ok poa, acha nile msoto, urafk baadae!

poleni sana mlio kosa mikopo. Msisikitike..ndivyo wanadamu tulivyo. Tupo kimaslahi zaidi. Ila sio fresh kubaguana.
 
Back
Top Bottom