Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa

Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa

KENET

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
259
Reaction score
86
Mimi ni mwanaume.Kuna tatizo limenitokea kupoteza hamu ya kufanya tendo la ndoa. Nakula na kulala vizuri wala sina mawazo yoyoe ila nimepoteza ghafla hamu yakufanya tendo la ndoa na mpenzi wangu tangu mwaka jana.

Tunaweza kulala naye kitanda kimoja kwa siku mbili mpaka tatu bila ya kuwa na hamu yoyote ya kushiriki naye tendo la ndoa.

Ushauri please nifanye nini ili nirudie hali yangu ya mwanzo.

Hiyo kawaida. Unaeza kudhani huna mawazo yanayokusumbua ila ukijifikiria utakuta changamoto za maisha zipo tu. Muhimu ni kwamba kwa kuanzia badilini sehemu ya makutano..chukueni kalikizo ka siku mbili hivi...utaona mabadiliko....kama hakuna tatizo la kiafya lakini
 
Karanga kg 1
parachichi 1
Pesheni kg 1
Ungawa soya kg 1
maziwa lita 1
tangawizi kg 1

Changanya
Utakuja enjoy
 
nana mwenzio hana hamu?,,,maana hata yeye anaweza kukunyegeza.....au ndo ile usipoanzisha yeye hausiki!!!badilisheni mazingira sio kila siku in bed tuuuuu.....hata kichakani kung'uta tuu......
 
Khaaaa masikini wee jipe likizo ukiona hali inaendelea ujue humpendi umepoteza hisia kwake
 
Mimi ni mwanaume.Kuna tatizo limenitokea kupoteza hamu ya kufanya tendo la ndoa. Nakula na kulala vizuri wala sina mawazo yoyoe ila nimepoteza ghafla hamu yakufanya tendo la ndoa na mpenzi wangu tangu mwaka jana.

Tunaweza kulala naye kitanda kimoja kwa siku mbili mpaka tatu bila ya kuwa na hamu yoyote ya kushiriki naye tendo la ndoa.

Ushauri please nifanye nini ili nirudie hali yangu ya mwanzo.

kama huna msongo wa mawazo basi njoo pm nikuelekeze jinsi ya kutengeza juisi ya tangawizi ili uwe na ham maradufu ya kufanya sex gharama zangu ni 5000 tu za maelezo ya kina juu ya juisi hiyo 0712505049:

muhimu
maliza msongo wa mawazo kama unayo
 
hebu weka picha yake, tukushauri vizuri, inawezekana yeye ndo sababu kubwa ukawa hivyo.
Jaribu kutafuta kipozeo mtaani uone kama hali ni hiyo hiyo au.
 
kama huna msongo wa mawazo basi njoo pm nikuelekeze jinsi ya kutengeza juisi ya tangawizi ili uwe na ham maradufu ya kufanya sex gharama zangu ni 5000 tu za maelezo ya kina juu ya juisi hiyo 0712505049:

muhimu
maliza msongo wa mawazo kama unayo

Mbona wataalam wa tiba mbadala hawatozi mtu pesa wanatoa maelezo bure na hata MziziMkavu akija hapa atatoa maelezo bure.

Google wangekuwa na tamaa ya pesa kama wewe sijui hii dunia ingekuaje?
 
Last edited by a moderator:
Kama siyo mkeo furahi na kumshukuru mungu kwa kuamua kukutunzia hazina yako until further notice.. Jokes ila punguza mawazo ya maisha na kula vyakula vyenye protin na mafuta....Usichukulie kama unaumwa kwani kufanya hivyo utazidisha tatizo maradufu.
 
Pole sana Jitafutie mda upumzike sana koz msongo wa mawazo ni chanzo pia cha kuelekea uimportent..?fanya mazoezi kula karanga mbch, supu ya pweza na kukusanya mawazo ukiwa nae.?
 
Mbona wataalam wa tiba mbadala hawatozi mtu pesa wanatoa maelezo bure na hata MziziMkavu akija hapa atatoa maelezo bure.

Google wangekuwa na tamaa ya pesa kama wewe sijui hii dunia ingekuaje?

huyo anafanta vile kw promo ya duka lake la dawa ana dawa ya kukuza uume anauza 15000 alafu tapeli tu huyo anadai anatibu ukimwi
 
Last edited by a moderator:
kwani mnavolala na mke wako analalaje? analala chali tu au ?
 
Mbona wataalam wa tiba mbadala hawatozi mtu pesa wanatoa maelezo bure na hata MziziMkavu akija hapa atatoa maelezo bure.

Google wangekuwa na tamaa ya pesa kama wewe sijui hii dunia ingekuaje?

mabango ya barabarani wamepigwa marufuku sasa waeingia huku...duh...
 
Mimi ni mwanaume.Kuna tatizo limenitokea kupoteza hamu ya kufanya tendo la ndoa. Nakula na kulala vizuri wala sina mawazo yoyoe ila nimepoteza ghafla hamu yakufanya tendo la ndoa na mpenzi wangu tangu mwaka jana.

Tunaweza kulala naye kitanda kimoja kwa siku mbili mpaka tatu bila ya kuwa na hamu yoyote ya kushiriki naye tendo la ndoa.

Ushauri please nifanye nini ili nirudie hali yangu ya mwanzo.

Kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa kwa mwanaume

Na Dk. Emmanuel James
Tatizo la mwanaume kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa (hypoactive sexual desire disorder for men ) ni ile hali ya mwanaume kukosa msisimko na hamu ya kufanya tendo la ndoa.

Takwimu zinaonesha kwamba kila wanaume watano mmoja anakabiliwa na tatizo hili, huku tatizo hili likionekana kuwa ni chanzo kikubwa cha kujishusha thamani kwa baadhi ya wanaume na kukosa kujiamini.

Lakini pia tatizo hili limeonekana kuchangia msongo wa mawazo kwa wanaume wengi wanaosumbuliwa na tatizo hili.

Kukosa hamu ya kufanya mapenzi kunapelekea wanaume wenye tatizo hili kupunguza hata ukaribu na wenzi wao kwa kuogopa pengine mpenzi wake atagundua kuwa anatatizo hilo, hivyo wanaume wengi wenye tatizo hili hutumia sababu mbalimbali za uongo kwa wapenzi wao kwa lengo la kupunguza ukaribu nao.

Chanzo cha tatizo hili

  • Umri, kwa mwanaume anavyozidi kuongezeka kiumri hivyo hivyo pia hupunguza shahuku na hamu ya kushiriki tendo la ndoa.

  • Msongo wa mawazo (stress), kuwa na msongo wa mawazo unaotokana na migogoro ya kifamilia, mahusiano , hali ngumu ya kiuchumi au magonjwa yananyoathiri mfumo wa fahamu (mental disorder) yanaweza kuwa chanzo cha tatizo hili.

  • Matatizo ya kiafya (deseases), baadhi ya magonjwa huweza kumsababishia mwanaume kukosa hamu ya tendo la ndoa. Mfano wa magonjwa hayo ni pamoja na presha ya kupanda, mafuta menge mwilini, kisukari, UKIMWI n.k

  • Upungufu wa vichocheo vya hisia na hamu, (Hormonial Inbalance), kutolewa kwa kiwango kidogo cha kichocheo kijulikanacho kitaalam kama ‘testosterone' ambacho huhusika na kuamsha hisia, msisimko na hamu ya kufanya mapenzi kwa mwanaume, hivyo pale kichocheo hicho kinapopungua kinaweza kuwa ni chanzo kikubwa cha tatizo hili na mara nyingine huweza kupelekea matatizo mengine kama asthma, kisukari n.k

  • Utumiaji wa baadhi ya madawa pia huweza kuwa chanzo cha tatizo hilo, hususani madawa yanayotumika kwa wagonjwa wa presha ya kupanda, kisukari, matatizo ya akili n.k.

  • Upungufu wa "Dopamine" ambayo hutolewa na ubongo na kazi yake kubwa ni kumfanya mtu ajisikie vizuri pamoja na kuongeza hamu ya kushiriki tendo la ndoa.

  • Uchovu pia ni miongoni mwa sababu za tatizo hili.

  • Unene kupita kiasi, kwa maana kwamba kadri unene unavyoongezeka huathiri uzalizaji wa 'testosterone hormone,' ambayo husaidia kuleta hamu ya kushiriki mapenzi.

  • Ulevi wa pombe kupita kiasi, uvutaji wa sigara na matumizi ya madawa ya kulevya kama kokeini, heroin nazo pia ni sababu za tatizo hili.

Matibabu
Matibabu hutegemea na chanzo cha tatizo, lakini kwa ujumla utumiaji wa baadhi ya vyakula huweza kukusaidia kuongeza hamu ya kushiriki tendo la ndoa. Mfano wa vyakula hivyo ni pamoja na ndizi, parachichi, tikitimaji, zabibu, tangawizi, pilipili,pweza na ngisi hivyo ni baadhi ya vyakula vinavyoweza kusaidia kuondokana na tatizo hili.

Mwanaume mwenye tatizo hili huweza kukabiliwa na yafuatayo endapo hata pata matibabu ya maepema.

Msongo wa mawazo ambao utapelekea kusababisha matatizo mengine kama, presha ya kupanda, vidonda vya tumbo, n.k

Kushindwa kusimamisha uume.

Kushindwa kabisa kumridhisha mwenza wako na hatimaye kuvunja ndoa au uhusiano.

Ushauri
Ni vizuri kuwahi mapema kuwaona wataalam mara tu unapohisi kuwa na tatizo hili, itakusaidia kupata utatuzi wa kina juu ya hili. Ukitaka Dawa wasiliana an mimi nitakupa kwa kubonyeza hapa
.Mawasiliano
 
Back
Top Bottom