[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....Poa tuUlimnyima k ukampa dereva bajaji akaona isiwe shida akutoe 50 amhonge mbadala wako! Sasa alipe ya nini ? Hapo hakuna deni
Ni manager kabisa huko afanyako kazi...Nimtu namfahamu sanaVp kama aligushi salary slip
M3 take home kukopa 50k uongo anamatumizi ya aina gani huyo jamaa
Tatizo nipo mkoa tofauti na yeye mkuu. Labda watu hubadilikaWakati mwingine inaweza kufikia huko kwenye uadui hasa pale mdaiwa anaoshindwa kulipa na kuanza kumkwepa mdai wake,badala ya kuwa muwazi juu ya kinacho mkwamisha kulipa.
Lakini mkuu kama unasema hiyo jamaa ni rafiki yako wakaribu hebu mtafute ana kwa ana ujue kulikoni.
Aisee nimeshangaa Sana, Kuna kijana mmoja anafanya kazi mwanachi communications Ni rafiki yangu wa Miaka mingi, japo hatuonana kwa Miaka Sasa.
Kuna Siku alinipigia simu akasema amekwama Sana nimkopeshe 50K. Kwakweli kutokana na urafiki wetu nikamkopesha, Alinitumia na salary slip yake take-home yake Ni Kama 3M na ushee .
Chakustaajabisha Kapotea hewani naoiga simu inakatwa na Sasa kaniblock. Nimeshangaa mtu wa hadhi yake was wadhfa anawezaje nidhulumu elfu hamsini.
Amakweli nimeshangazwa na tendo la huyu kijana mwenye wadhfa wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
issue ya kawaida kabosa hiyo kwa wafanyakazi, kuna tarehe za mkwamo hapo kati ya mwezi kuanzia tarehe 13 mpaka kupata salaryVp kama aligushi salary slip
M3 take home kukopa 50k uongo anamatumizi ya aina gani huyo jamaa
Kwa 3m?! Yani kwa matumizi yami m3 iishe katikati ya mwezi au unatumia 200k per day?!issue ya kawaida kabosa hiyo kwa wafanyakazi, kuna tarehe za mkwamo hapo kati ya mwezi kuanzia tarehe 13 mpaka kupata salary
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha tu yani jana nineitwa dogo na mtu nlimzidi miaka kadhaa kisa nilimdai pesa yangu, kanijibu "tulia dogo nitakupa pesa yako" . Dah maisha haya.
Sent using Jamii Forums mobile app
majukumu yanatofautiana kuna watu tulisomeshwa na kijiji, ila kushindwa kulipa 50k ni either anamajanga yake mengine au ni wale wadaiwa suguKwa 3m?! Yani kwa matumizi yami m3 iishe katikati ya mwezi au unatumia 200k per day?!