Humuamini Afisa Mikopo?
Unataka umuamini nani?
Mkuu naomba nikuonye hao jamaa ni SUMU kabisa hata hawafai. Kama ni mfanyakazi nenda kakope benki nakuapia utajita. Mimi nilikopa kwa hao MBUZI nikawa nakatwa kila mwezi. Baadaye nikawa nikataka kwenda kuclear deni lilobaki hela niliyoandikiwa kurudisha mpaka nilitaka kupata presha. Na wanafanya hivyo ili usirudishe mkopo uendelee kukatwa mana ndo faida wanapoipata. Siku nikamtafuta yule Afisa aisee nilijuta mana ukishakopa wanajua umeshaingia nyavuni watakusumbua mpaka uchoke. Nashukuru kimkopo chao kilishaisha. Kitu kingine wanakwambia mkopo masaa 24 mimi nilipewa baada ya wiki tano yaani jana leo wamenipa mkopo kesho mshahara ukaingia wakakata chao.Wadau naomba kuuliza kwa wale ambao wamewahi kukopa Fanikiwa Microfinance,
Afisa Mikopo wao kaja kunitembelea na kunishawishi kukopa kwao. Akanieleza kuwa ukikopa mfano milioni 5 kwa miaka miwili unaweza ukakatwa 393,250 kwa mwezi. Lakini kama nitaweza kurudisha mkopo baada ya miezi sita kabla ya muda wenyewe wa mkopo ina maana nitatakiwa kurejesha (393,250 X 6) Jumlisha (5,000,000 - (393,250x6)). Yaani utalipa ile ile amount ya milioni tano hivyo utaepuka ile riba uliyotakiwa kulipa ndani ya miaka 2.
Je hii ni kweli au kauli za kushawishi tu?
Duh,
Huu ni zaidi ya UJAMBAZI
unakopa Millioni 5 ndani ya miaka 2 Kisha unawarudishia Millioni 18.
[emoji116] [emoji116]
393,250 × 48 = 18,876,000
In short,
Riba yao ni 138.7% kwa Mwaka
Wakati NMB na CRDB wao riba ni 20% kwa mwaka.
ZA KUAMBIWA, CHANGANYA NA ZA KWAKO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli umepigia hesabu ya miaka minne.Duh,
Huu ni zaidi ya UJAMBAZI
unakopa Millioni 5 ndani ya miaka 2 Kisha unawarudishia Millioni 18.
[emoji116] [emoji116]
393,250 × 48 = 18,876,000
In short,
Riba yao ni 138.7% kwa Mwaka
Wakati NMB na CRDB wao riba ni 20% kwa mwaka.
ZA KUAMBIWA, CHANGANYA NA ZA KWAKO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmb riba ni 17%, crdb ni 17%, nbc ni 18%, vibenk uchwara ni 20 hadi 24%Duh,
Huu ni zaidi ya UJAMBAZI
unakopa Millioni 5 ndani ya miaka 2 Kisha unawarudishia Millioni 18.
[emoji116] [emoji116]
393,250 × 48 = 18,876,000
In short,
Riba yao ni 138.7% kwa Mwaka
Wakati NMB na CRDB wao riba ni 20% kwa mwaka.
ZA KUAMBIWA, CHANGANYA NA ZA KWAKO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu,Nmb riba ni 17%, crdb ni 17%, nbc ni 18%, vibenk uchwara ni 20 hadi 24%
Hilo ni Kweli mkuu,Si kweli umepigia hesabu ya miaka minne.
Kwa mfanya biashara au mfanyakazi?Hapana mkuu,
Nmetoka kuulizia Hilo swala juz ya tar 28/12/2018 nlipopeleka marejesho
Nmeambiwa
Wameshusha kutoka 22% hadi 20% kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni 24 mkuu, Mathematical ErrorHiyo 48 ni ya nini mkuu sio ni 24?
Ambayo ukimaneuver huko kwa mwaka ingeleta riba ya 45% ivi.. Huku kwenye hiyo option ya miezi 6 nimeona kama kakichaka flani ivi