Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,737
- 18,920
Ninae mtoto ila ninamsomesha shule ambayo ada naimudu na pia mimi si mwalimu mkuuKuna mawili kama wewe si mwalimu wa shule mfano wa hiyo niliotolea mfano basi ni wazi huna mtoto unaesomesha. Si kila jambo unalitolea comment ili tu ionekane umecomment ndugu unless una maslahi binafsi katika hii topic.