Hayo ndiyo mawazo ya waTanganyila walio wengi. Hawataki hata kudai haki yao. Kila linalopangwa na yoyote wanakubali tu.Mkuu kwenye hili pambana tuu ulipe. Hamna namna.
Kabisa......Hayo ndiyo mawazo ya waTanganyila walio wengi. Hawataki hata kudai haki yao. Kila linalopangwa na yoyote wanakubali tu.
Na kwa fikra hizi za kuwa hakuna namna ndio maana wachache wanajikuta wana haki zaidi ya wengine. Kwa swala kama la ada wazazi wote wakigoma shule lazima isalimu amri lakini wanatokea wale wa 'pambana tu hamna namna' kupelekea wengine wote waathirike.Hayo ndiyo mawazo ya waTanganyila walio wengi. Hawataki hata kudai haki yao. Kila linalopangwa na yoyote wanakubali tu.
Na kwa fikra hizi za kuwa hakuna namna ndio maana wachache wanajikuta wana haki zaidi ya wengine. Kwa swala kama la ada wazazi wote wakigoma shule lazima isalimu amri lakini wanatokea wale wa 'pambana tu hamna namna' kupelekea wengine wote waathirike.
ukiuliza unaambiwa ni nchi inayopenda amani. Kutokujua kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na amani na kuwa limbukeni. Sisi ni malimbukeni wa kuamini kama halikuathiri liache lipite, hatma yake ndio tumefika hapa tulipofika sasa.Hi nchi Bana, sijui Nyerere aliifanyaje.......majitu yanaonewa, yanasema hamna namna.
Hi nchi Bana, sijui Nyerere aliifanyaje.......majitu yanaonewa, yanasema hamna namna.
kweli kabisaNa kwa fikra hizi za kuwa hakuna namna ndio maana wachache wanajikuta wana haki zaidi ya wengine. Kwa swala kama la ada wazazi wote wakigoma shule lazima isalimu amri lakini wanatokea wale wa 'pambana tu hamna namna' kupelekea wengine wote waathirike.
kuna unyanyasaji mwingi sana katika hizi shule za private ambao wazazi tunakutana nao. Na wamiliki wanakuwa na kiburi kikubwa wakiamini hakuna tunachoweza wafanya.Kabisa......
Mimi mwenyewe am puzzled, muhula uliopita wa covid nililipa nikabakiza 200,000#......tu...... Sasa hapa ndio ujumbe umeingia tumalize ada yote ya muhula uliopita na tulipe na hii........
Unalipiaje huduma ambayo hujatumia??????
Kama nchi tunakwenda wapi??????
Viongozi wetu wakwapi watoe ufafanuzi??????
Au Serikali in fungu lake toka private schools tujue........
It's a shame
Shida yote hii ni kutokana na elimu kubinafsishwa, mbona kipindi cha nyuma serikali ilikuwa inatoa elimu bora sana tena kwa ada ndogo..
Na kwa fikra hizi za kuwa hakuna namna ndio maana wachache wanajikuta wana haki zaidi ya wengine. Kwa swala kama la ada wazazi wote wakigoma shule lazima isalimu amri lakini wanatokea wale wa 'pambana tu hamna namna' kupelekea wengine wote waathirike.
Kuna mawili kama wewe si mwalimu wa shule mfano wa hiyo niliotolea mfano basi ni wazi huna mtoto unaesomesha. Si kila jambo unalitolea comment ili tu ionekane umecomment ndugu unless una maslahi binafsi katika hii topic.Sasa mkuu tatizo ni nini? Hauna hela au ? Kwanza hio shule ni ya kawaida sana ukilinganisha na huduma inayotolewa hapo na hizo ada haifananii kabisa..we lipa ada tu
hata kama sio wazazi wote walishiriki katika hayo masomo ya online kutokana changamoto nyingi sana ikiwemo wa ujuzi wa kushiriki hayo masomo ya online.Kuna shule nyingi wazazi wameambiwa walipe ada kwa vile waliendelea na masomo kwa internet. Hilo sawa, lakini ilitakiwa meal na accommodation viondolewe.
Sasa mkuu tatizo ni nini? Hauna hela au ? Kwanza hio shule ni ya kawaida sana ukilinganisha na huduma inayotolewa hapo na hizo ada haifananii kabisa..we lipa ada tu