Kukojoa ndani ya swimming pool sio uungwana

ndo maana sifikirii kuogelea kwenye hayo madimbwi na sitaogelea asilan.
 
Mpaka chuo kikuu ukienda kwenye choo cha malecturers wenye PHD zao utakuta kuna mwamba kaacha kimba haja flash...
 
Ni mwanao ndio aliachia mzigo
 
Hivi kumbe wewe ni mwanamke??? ndo nimejua leo aisee.. hahahahaah
 
Sheria tu kabla ya kuingia kwenye pool lazima uingie bafuni kwanza!
Mambo ya kutumia hayo madude yenu yanataka ustaraabu sana

Ova
 
Sheria tu kabla ya kuingia kwenye pool lazima uingie bafuni kwanza!
Mambo ya kutumia hayo madude yenu yanataka ustaraabu sana

Ova
Tatizo mtu unaweza ukawa wewe ni mstaarabu sawa ila anatokea mwamba mmoja huko hajui maana hata ya neno ustaarabu.

Ndo maana hii dunia kuvumiliana kunahitajika sana
 
Tatizo mtu unaweza ukawa wewe ni mstaarabu sawa ila anatokea mwamba mmoja huko hajui maana hata ya neno ustaarabu.

Ndo maana hii dunia kuvumiliana kunahitajika sana
Miaka ya nyuma nakumbuka watu walikuqa wanaenda poolside kilimanjaro!
Kuna watu walikuwa wakienda pale walikuwa wanaiba sana mataulo....hapo bado wakojozi
Bado wengine wanakulana mule ndani

Ova
 
Vipi wazee wa kunyeto, ndani ya hayo madude wanasemaje?
Kwa nini unyetuke wakati kuna Watoto wakali ,akili yako tu kwenye kuwala,kigiza kinavyoingia unamsogeza kwenye kina kirefu,haswa akiwa hajui kuogelea,unajiongeza unakula mzigo
 
Miaka ya nyuma nakumbuka watu walikuqa wanaenda poolside kilimanjaro!
Kuna watu walikuwa wakienda pale walikuwa wanaiba sana mataulo....hapo bado wakojozi
Bado wengine wanakulana mule ndani

Ova
Duh! kuna saa unaweza kudhani hivi vitu vingebakigi tu kwa wazungu... maana huku kwetu ni kama bado hatujastaarabika
 
Duh! kuna saa unaweza kudhani hivi vitu vingebakigi tu kwa wazungu... maana huku kwetu ni kama bado hatujastaarabika
Haya mambo yanataka ustarabu sana
Utakuta mtu anaingia na mijasho,bado hajakutana na mikojo mule,kuna wengine wanagegedana ndani ya maji
Ila kama wenye swimming wanamuajiri msimamizi maalum na anayejua taratibu za pool
Anaweza dhibiti mambo ya ajabu ajabu

Ova
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama haya yanatokea, namshangaa anaefanya hivyo, kwani maji anayochafua ndiyo nae pia yumo humo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…