Kukojoa na mate vina uhusiano gani?

Kukojoa na mate vina uhusiano gani?

michepuko

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
1,192
Reaction score
346
Hivi ni kwanini wanaume tukikojoa (Haja ndogo) ni lazima tuteme mate pale tunapokojolea iwe ardhini au kwenye urinal cages?Madokta na wana saikolojia pleas mtutanabaishe tafadhali.
 
Ooyoo hivi baadala ya kuhisabu naazi unahisabu makumbi ya naazi na ina maana kila mwanaume akienda kukojoa huwa unamchungulia inaonisha unafaidi sana na unamwangalea mpaka atemee mate ndo una maliza hamu ya kumcheki ama hicho ni kibarua kizuri sana na usikiache endelea nacho kuchunguza ni safi
 
Hehehehe he. ..kuna siku nilipita uswahilini mitaa ya tmk nikamsikia mzee mmoja anasema,"mbona ukienda chooni kukojoa haja kubwa haikutoki? Lkn ukiwa unakuny* mkojo unakutoka"....niliishia kucheka tu
 
Ooyoo hivi baadala ya kuhisabu naazi unahisabu makumbi ya naazi na ina maana kila mwanaume akienda kukojoa huwa unamchungulia inaonisha unafaidi sana na unamwangalea mpaka atemee mate ndo una maliza hamu ya kumcheki ama hicho ni kibarua kizuri sana na usikiache endelea nacho kuchunguza ni safi

Hahahahah!!! mbavu zangu mie
 
Kuna raha kumpiga mwanamke chabo. lakini hii ya kuwapiga wanaume wenzio chabo ya utafiti ndio naiona leo. Kumbe wengine tukikojoa men's room kuna wengine wako kazini wanapata harufu ya ushuzi. Utafiti wa ushuzi na mate.
 
Mmmmh! wanaume mnamambo...... ha ha ha ha! Maumivu niacheee.. mahaba nikumbatie
 
Me naonaga tukiwa ssfarini muda wa kuchimba dawa but si wote hutema mate
 
Back
Top Bottom