Ni kawaida huna tatizo lolote
.kibofu cha mkojo kipo nyuma ya uume na mirija ya mikojo
mirija hio hio inayotoa mkojo ndo inayotoa shahawa ,kwasababu maeneo hayo yanakaribiana ni rahisi kupata stimuli ya mkojo baada ya kujamiiana.Unapaswa kufanya ni kukojoa kabla hujamuingilia mwezi wako,kisha utaepuka kuenda haja ndogo baada ya tendo.