Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 790
toba!! yamefika huko. bora mie nipo kwenye family business...... huku wanaume wakiingiliwa kinyume na maumbile, .......
professional ethics hakuna mkuu. hukumu kali ziko ulaya/US. unakumbuka yule bosi CIA aliyejiuzulu bcoz ya small hausi, hapa it will be "swept under the rug''Iwekwe hukumu kali sana pale inapothibitika kuna waajiri wanaofanya huu upumbavu
ni kweli kabisa! tatizo rushwa ya ngono ni ngumu kuitokomeza kwa sababu mbili. moja, watoa rushwa ya ngono (akina dada) wamefikia pahala wameiona ni jambo la kawaida, tena hata katika masuala ya kupandishwa vyeo kazini. pili, wapo viongozi wakuu ambao ndio wanapaswa kuwa mstari wa mbele kuipiga vita ndio hao hao mabingwa wa kudai hizo rushwa! kwa kifupi rushwa ya ngono imekuwa kama ni desturi katika jamii zetu!professional ethics hakuna mkuu. hukumu kali ziko ulaya/US. unakumbuka yule bosi CIA aliyejiuzulu bcoz ya small hausi, hapa it will be "swept under the rug''
hapa ndo panapoudhi....^^
Serikali ni sisi wenyewe,,serikali za vichwa vyetu zianze kwa kuwa na msimamo wa miili yetu.
^^
hapa ndo panapoudhi....
yaani mtu anataka serikali iingilie kati hata swala la mtu anataka kulala na nani!
hii serikali haina kazi?
kwani kila mtu akikataa kutoa rushwa ya ngono watu watakuwa hawaajiriwi? hawapandishwi vyeo? hawagraduate?
uvivu wa kusoma unamfanya mtu atoe rushwa ya ngono ili agraduate.....
uvivu wa kusoma unamfanya mtu apate grades za ajabu na hapo inampasa atoe rushwa ya ngono ili apate upendeleo kwenye ajira......
uvivu wa kufanya kazi kwa bidii kunapelekea mtu atoe rushwa ya ngono ili apandishwe cheo........
sasa tunataka serikali iingie vichwani kwetu itusomee? itufanyishe kazi kwa bidii?
unajua wakati mwingine nashindwa kuelewa
jana nilikasirika sana....Serikali ni jalala la kila lawama! hata wanaoishi mabondeni licha ya kutakiwa kuhama na wao kukaidi, mafuriko yakiwakumba lawama kwa serikali!
Huyo mmiliki wa duka ni Mtanzania?
Serikali ni jalala la kila lawama! hata wanaoishi mabondeni licha ya kutakiwa kuhama na wao kukaidi, mafuriko yakiwakumba lawama kwa serikali!
Kwa historia ya tatizo lilivyo kwa sasa intervention ya serikali ni muhimu. Tatizo ni kubwa na njia mojawapo ni kuua chanzo cha tatizo. Kama vyombo husika vya dola vingekuwa na nia ya kupambana na hii kitu, ingezuilika kirahisi kuliko kutegemea washawishiwa kushinda vishawishi. Wengi wataoshinda kishawishi ni wenye alternative, lakini wasio nazo wataangukia huko tu.hapa ndo panapoudhi....
yaani mtu anataka serikali iingilie kati hata swala la mtu anataka kulala na nani!
hii serikali haina kazi?
kwani kila mtu akikataa kutoa rushwa ya ngono watu watakuwa hawaajiriwi? hawapandishwi vyeo? hawagraduate?
uvivu wa kusoma unamfanya mtu atoe rushwa ya ngono ili agraduate.....
uvivu wa kusoma unamfanya mtu apate grades za ajabu na hapo inampasa atoe rushwa ya ngono ili apate upendeleo kwenye ajira......
uvivu wa kufanya kazi kwa bidii kunapelekea mtu atoe rushwa ya ngono ili apandishwe cheo........
sasa tunataka serikali iingie vichwani kwetu itusomee? itufanyishe kazi kwa bidii?
unajua wakati mwingine nashindwa kuelewa
Hapo mi ndo nashindwa kuelewa. Watu wanafanya biashar chafu huku wakijua wazi matokeo yake ikiwa ni pamoja na kufungwa, kunyongwa n.k. Back to topic rushwa ya ngono haiwezi kuisha iwapo kama unyanyasaji wa kijinsia hautawekewa sheria kali. Nachelea kusema wanaotoa rushwa ya ngono ni uzembe wao, wakati mwingine si kosa lao baadhi wanalazimika kukubali eg mtu katafuta kazi kwa muda mrefu bila mafanikio na wengine wana watu wanaowategemea. Sasa anapoombwa rushwa ya ngono inakua vigumu kwake kukataa. Wengine wanapata manyanyaso sana kazini hasa boss anapokua amemtaka. Anakua na wakati mgumu sana na pengine kufikia hatari ya kufukuzwa kazi. Sasa nini kifanyike mimi kwa mtazamo wangu inapaswa pawe na sheria zinazomlinda mwanamke na zizuie unyanyasaji wowote wa kijinsia na hatua kali ziwekwe bayana lili wahusika waweze kuogopa mbona wenzetu wa magharibi wameweza tena hakuna watu wanaovaa vibaya kama hawa. Nieleweke vizuri sio kwamba nahalalisha hii rushwa ya nono la hasha ila nataka kuzungumzia uhalisia wake wapo wasioweza kujitetea au kukataa sasa ikiwekwa sheria na ikasimamiwa basi itawasaidia hawa wenye roho nyepesijana nilikasirika sana....
hawa vijana wetu wanataka utajiri wa haraka haraka, wanabeba madawa ya kulevya, wanakamatwa huko nchi za watu, halafu watu wanailalamikia Serikali iende ikawasaidie wanapata shida sijui wengine wanataka kunyongwa.......
keli hii ni kazi ya serikali? kutetea waovu?