Kukiri

Ungekuwa umeolewa na huyo kijana,ungeleta uzi humu unampenda Boss wako....wanawake hamjuagi mnataka nin
 
Inabidi niache kazi sitaki kumuona tena
 
Asante
 
Hivi vitu kama hujakutana navyo nirahisi sana kushangaa na kuhukumu lakini vipo na hutokea tu, mimi pia nimeolewa na ninampenda mno mume wangu na nina muheshimu sana lakini niliwahi kukutana na mwanaume mmoja aisee from nowhere nilianza kuhisi kumpenda vibaya mno, ofcoz sikumuonyesha mana sikutaka ajue na sikuwa na mpango wa kuanzisha nae mahusiano lakini nilikuwa nikikutana nae nahisi kuchanganyikiwa nikawa nasali Mungu aniondolee ile hali mana hata cjui kwanini nilikuwa nahisi vile mana sikuwa na mpango kabisa wa kusaliti ndoa yangu ila nna shukuru baada ya muda fulani ile hali ikaanza kuondoka na uzuri zaidi jamaa akaja akahama huo mtaa nikamsahau kabisaaa,
 
Vitu vingine unatamani nakuviacha.sio kila unachotamani unakichukua.
Kwakua ni mbaya kutamani lakini sio kama watu hawatamani

Naelewa hali unayoipitia ila nakushauri punguza mazoea nae na ji keep busy usiruhusu kijana akuzoee zaid maana hapo ndio mtaongeza tatzo,fanya kazi zako jistir vzr kitu kibaya ni kuwa licha ya wew kuwa na upendo wa kawaida na huyo kijana ila unaweza ukamfukuzisha kazi hapo unakuwa umemharibia maisha....kama unataka kumharibia maisha basi endelea ila kama una upendo nae mzur basi jitahid
 
Idle Hands are the devil playthings...

Umekosa vitu vya maana kuifikirisha akili yako kwahio inatafuta cha kufanya.., Kama ni mtu wa imani anza kuwaza ni nani alimuumba Muumba.., au kama mtu wa sayansi waza mambo ya quantum mechanics
 
Nnachokushauri dont act on those feelings, hapo sana sana nnachokiona huyo kijana wala hakupendi ila ameshagundua udhaifu wako so anataka kutumia fursa akutumie kwa maslahi yake kashaona chance ya sugar mamy hii hapa
 
Acha kumbania kijana nae ana moyo

Mpe Mara Moja tu halafu muachane nenda katubu halafu mpende mume wako utajiskia vzur tu


Usiogope uwezi kushikwa Mara ya Kwanzaa
 
Umeongea moyo wangu.
Hata wanaume wanatamani tu tatizo wao wanaona ni kawaida ila ikitokea kwa mwanamke ndo wananona ni haiwezekani.
Kuna ile unampenda mtu lakini hujawahi hata kuwaza kwamba utoke nae kimapenzi.
Umemaliza kabisa
 
kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…