CCM na rushwa ni zaidi ya mbwa na chawa....au Mnywa Gongo na Gongo yake!..! Ukitaka kuondoa Gongo mtaani, lazima umwondoe kwanza mnywa Gongo...! na Gongo itatoweka, itakosa mnywaji! Ili kuiondoa Rushwa...lazima CCM kwanza ing'ooke....! Sumaye ni 'nabii wao' lakini tukumbuke na JK alishawaambia 'wenyewe' kuwa mwisho wao yaelekea ni 2015....tunaona mwelekeo taaratiib....tusubirie..