kukauka mate mdomoni ni ugonjwa gani?

rakeyescarl

JF-Expert Member
Dec 9, 2007
481
145
Salam wana JF,
Naomba msaada wa wenu.
Nina mzee wangu(75yrs) ana tatizo la mate kukauka,kwa hiyo anakunywa maji mengi ili mdomo usikauke.
Je huu ni ugonjwa?Au kuna mwenye kujua tiba yake?
Natanguliza shukurani.
RE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom