Kukatika kwa umeme

Kukatika kwa umeme

Ni Mara ya kwanza kwako kuona umeme umekatika? Unategemea umeme ukikatika Kiwalani uukatike nchi nzima? Think twice before posting this kind of shit
 
acha uzezeta wako kama ulikuwa hujui mantiki ya swali ungekaa kimya basi

Usituletee ugolo wako hapa na kujiaminisha kwa wengine ni mazezeta, umetumia kipimo gani kujua uzezeta wangu? Tanesco number zao ziko wazo 24/7 wapigie uwaulize km Kuna tatizo. Na ili kujua kuwa umeleta utumbo hapa hutapata msaada zaidi kuendelea lugha zako za matusi ya huko Vingunguti.
 
Habari waungwana,huku kwetu maeneo ya kiwalani umeme umekatika toka saa 7 usiku na haujarudi hadi muda huu,ni huku kwetu tu au kuna tatizo la kiufundi limetokea na kuathiri maeneo mengine pia.

Pole ILA Nakutia NDIMU Wenzetu Marekani Umeme Ulikatika Tena Kwa Bahati Mbaya Tu Mnamo Mwaka 1947 Na Ni Kwa Sekunde 3 Tu Na Kupelekea Waziri Wao Wa Masuala Ya Nishati Hiyo Ya Umeme Kujiuzuru. Sasa Nakuuliza AU Nawaulizeni Kwetu Hapa Bongoland Mara Ya Mwisho Kukaa Bila Umeme Kutukatikia Ilikuwa Ni Lini? Nipeni Kumbukumbu Zenu! Na Hapa Ndiyo Naamini Kuwa MZUNGU Ni Mungu Kwani ktk Neno Hilo La MZUNGU Ukitoa AU Kuondoa Hiyo Herufi " Z " Inabaki Nini?
 
Mkuu Lini Tena Tumeanza Kubaguana Kwa Maeneo Tuishio? Mwenzetu Unaishi Wapi? Umeshataja Vingunguti Wanaishi Watu Wenye Utumbo Je Maeneo Gani Mengine Wanayoishi? Na Je Wastaarabu Na Wasomi Wanaishi Wapi? Binafsi Nimejisikia Vibaya Mno Kwa Kuwadharau Na Kuwashusha Hadhi Watu AU Wenzetu Waishio Huko Vingunguti Na Kumbuka Kuwa Hata Vidole Havilingani Mkuu Na Haya Ni Maisha Tu Sote Tunatakiwa Kupendana Na Kupeana Sapoti. Nimesikitika Sana Mkuu ILA Najua Utakuwa Umeteleza Tu Kwa Hasira AU Hamaki Kama Si Jazba. Tupendane Na Tuheshimiane Sote!
 
Habari waungwana,huku kwetu maeneo ya kiwalani umeme umekatika toka saa 7 usiku na haujarudi hadi muda huu,ni huku kwetu tu au kuna tatizo la kiufundi limetokea na kuathiri maeneo mengine pia.

Hata huku ukonga haupo toka mda huo
 
Ni Mara ya kwanza kwako kuona umeme umekatika? Unategemea umeme ukikatika Kiwalani uukatike nchi nzima? Think twice before posting this kind of shit

Unatakiwa kutumia lugha nzuri jf ili wenzako waelewe. Hatuna haja na majibu yako ya kihuni. Wakati nasoma post hii nami nilitaka kuuliza kwa kuanzisha post. We unaona ni jambo la kawaida umeme kukatika massa zaidi ya 8 karibu nchi nzima? Busara zikuongoze.
 
Walio mikoani tunaomba kujulishwa hali ya umeme kwa sasa.
 
Pole ILA Nakutia NDIMU Wenzetu Marekani Umeme Ulikatika Tena Kwa Bahati Mbaya Tu Mnamo Mwaka 1947 Na Ni Kwa Sekunde 3 Tu Na Kupelekea Waziri Wao Wa Masuala Ya Nishati Hiyo Ya Umeme Kujiuzuru. Sasa Nakuuliza AU Nawaulizeni Kwetu Hapa Bongoland Mara Ya Mwisho Kukaa Bila Umeme Kutukatikia Ilikuwa Ni Lini? Nipeni Kumbukumbu Zenu! Na Hapa Ndiyo Naamini Kuwa MZUNGU Ni Mungu Kwani ktk Neno Hilo La MZUNGU Ukitoa AU Kuondoa Hiyo Herufi " Z " Inabaki Nini?

15255_854579904560282_4817736885812835623_n.jpg
 
tabata umeshakatika mara tatu leo, na tangu saa kumi na mbili jioni hadi muda huu haujarudi, je tatizo nini ? au walitangaza mgao???
 
uwanja wa ndege tokea jana usiku hata sahivi ni full giza na tanesco hawajaweka wazi kama ni mgao ama kuna matengenezo makubwa kwa zaidi ya siku nzima
 
Pole ILA Nakutia NDIMU Wenzetu Marekani Umeme Ulikatika Tena Kwa Bahati Mbaya Tu Mnamo Mwaka 1947 Na Ni Kwa Sekunde 3 Tu Na Kupelekea Waziri Wao Wa Masuala Ya Nishati Hiyo Ya Umeme Kujiuzuru. Sasa Nakuuliza AU Nawaulizeni Kwetu Hapa Bongoland Mara Ya Mwisho Kukaa Bila Umeme Kutukatikia Ilikuwa Ni Lini? Nipeni Kumbukumbu Zenu! Na Hapa Ndiyo Naamini Kuwa MZUNGU Ni Mungu Kwani ktk Neno Hilo La MZUNGU Ukitoa AU Kuondoa Hiyo Herufi " Z " Inabaki Nini?

Duh! Mzee kwahiyo wale mashoga wa kizungu, wacheza porn wa kizungu, white prostitutes wote ni Miungu yako? Hongera to have variety of Gods. Hata wahindu hawana miungu mingi kiasi hicho.
 
Pole ILA Nakutia NDIMU Wenzetu Marekani Umeme Ulikatika Tena Kwa Bahati Mbaya Tu Mnamo Mwaka 1947 Na Ni Kwa Sekunde 3 Tu Na Kupelekea Waziri Wao Wa Masuala Ya Nishati Hiyo Ya Umeme Kujiuzuru. Sasa Nakuuliza AU Nawaulizeni Kwetu Hapa Bongoland Mara Ya Mwisho Kukaa Bila Umeme Kutukatikia Ilikuwa Ni Lini? Nipeni Kumbukumbu Zenu! Na Hapa Ndiyo Naamini Kuwa MZUNGU Ni Mungu Kwani ktk Neno Hilo La MZUNGU Ukitoa AU Kuondoa Hiyo Herufi " Z " Inabaki Nini?
You are totally wrong.

Huwezi kumlinganisha binadamu yeyote na Mungu wetu, muumba wa kila kitu, uvionavyo na usivyoviona, vikiwemo dunia na sayari zote, pamoja na kuumba viumbe wote, wakiwemo binadamu, pamoja na wewe mwenyewe.
 
Kwetu Mwanza (Buhongwa) umeme ulikatika saa 7mchana ukarudi saa2 usiku. Ukakatika tena saa2:30 haujarudi tena mpaka sasa. Inakera sana na katizo la umeme halikutangazwa!
 
Ni Mara ya kwanza kwako kuona umeme umekatika? Unategemea umeme ukikatika Kiwalani uukatike nchi nzima? Think twice before posting this kind of shit

Hiyo ni lugha nyepesi kwa jambo zito toka juzi uck hadi sasa haujarudi tayari yamepita hadi sasa masaa 30.na hatujui chochote kinachoendelea we hapo unaona ni jambo la kawaida eneo kubwa tangu tazara,airport,ukonga yote.
 
Poleni sn wadau, ila shaka Tanesco watakuwa wanashughulikia hilo tatizo. Maeneo ya huko mna-share transformers na viwandani so inawezekana ume-burst. Sidhani km ni mgao wa kawaida Huyo tangu juzi
 
Ni Mara ya kwanza kwako kuona umeme umekatika? Unategemea umeme ukikatika Kiwalani uukatike nchi nzima? Think twice before posting this kind of shit

Wakati mwingine kama hujisikii kuposti ni bora ukasoma na kupita tu mkuu:sorry:
 
Back
Top Bottom