Kaka tupo ndani ya mwezi wa ramadhan hivo haikuwezekana kufanya hivyo wote tulikuwa tumefunga!hata kukumbatiana haikuwezekanaUmekosea sana.. Wenzio hzo blind date tunazifanyia maghetoni.. Demu unakua umemshapanga kwamba anakuja gheto.. Akija gheto ukishindwa kula papuchi hiyo ni ujinga wako. Ukila papuchi hata kama aseme hakutaki haiumi..
Sijui amepatwa na nini,ila pole. Kubali tu matokeo japo sio rahisi,ila huwezi kulazimisha maji kupanda mlima. Jiweke pembeni subiri wa kwako
Msema kweli mpenzi wa Mungu. Au ulikuwa umevaaje.? Maana usikute mkanda haukumatch na viatu... au hukupiga mswaki vizuri. Au hukubrush viatu, au ulipaka unyunyu mkali sana, au suruali haikuendana na shati... au ulinyoa kibwenzi... au hukupaka deodorant?
Au ulidundika sana mrembo akamind? au ulilipa bill hukutoa wallet ukafinyia hela mfukoni? Au story zako zilikuwa za my anko... my braza... my anti? Au hukwenda straight to the point?
Naomba usinichukie, nimejaribu kuangalia sehemu zinazotuput off wakinadada...
Si kwamba labda ananijaribu pengine!!Tumepanga kukutana nae jumamosi ngoja nikamsikilize!!ka vp napiga chini siwezi kulazimisha kupenda pasipopendekaLabda hajavutiwa na wewe baada ya kukuona. Au maybe jinsi mazungumzo yenu yalivyokuwa, na jinsi alivyoobserve baadhi ya Vitu vyako, akajikuta moyo wake umekukataa.
Blind dates zina challenges pia haswa inapotokea mnakutana afu wewe ndo ukakolea while mwenzako akakukinai. Sio issue lakini, shukuru tu Mungu dada wa watu kawa honest na wewe, hajataka kukupa matumaini wala kukupotezea muda. Shukuru kwa yote, jikaze maisha yaendelee.
Msema kweli mpenzi wa Mungu..........au ulikuwa umevaaje......?......maana usikute mkanda haukumatch na viatu.......au hukupiga mswaki vizuri..........au hukubrash viatu.........au ulipaka unyunyu mkali sana........au suruali haikuendana na shati........au ulinyoa kibwenzi..........au hukupaka deodorant.......?.......au ulidundika sana mrembo akamind........?.....au ulilipa bill hukutoa wallet ukafinyia hela mfukoni............?.......au story zako zilikuwa za my anko.....my braza.......my anti...........?.......au hukwenda straight to the point.......?.....
Naomba usinichukie........nimejaribu kuangalia sehemu zinazotuput off wakinadada..........
huyu dada nashindwa kumtathimin sijui ni mnene au mwembamba, mfupi au mrefu,sijui ni wamakamo au binti
Labda ni story ndo hazikumvutia kwasababu alikuwa na haraka ya kurudi home kwan mda ulikuwa umeenda!Mavazi yalikuwa ya kawaida(t-shirt nyeupe,jeans nyeuc na raba nyeupe)! nilimuuliza ka ni muonekano wangu aniambie ukweli akasema muonekane haukuwa na shida!!
Nimeomba niutane nae tena jumamosi ndo atakuwa free!! Ngoja nikamsikilize kama kabadili msimamo wake au ananijaribu