Kukata tamaa katika Vigezo

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
1,353
Reaction score
2,851
Hope nyote wazima.

Leo napenda tujadili hili swala la bargaining wakati mnatakana kuanzisha mahusiano ya uchumba yatakayopelekea kuoana na kuishi pamoja.

Kwa mfano, Mwanamke anaweza kuwa alipanga toka awali kuwa angependa mwanaume atakayemuoa awe wa kabila lingine tofauti na lake, baadae akachumbiwa na mtu wa kabila lake, hivi hapa mwanamke anaweza kufunika kombe mwanaharamu apite?


Au Mwanamke alishapanga toka awali kuwa angependa mume wake awe mrefu, sasa anashangaa kila mwanaume anayemchumbia na ambaye yupo serious ni wale ambao hakuwatarajia yaan short men, na hapo hapo tall men wana hit and run, na age ndo hiyo inamkimbia, hivi hapa hawezi kubadili mawazo?

Au Mwanaume anapanga kuwa anataka kuoa mwalimu wa primary ambao wote ni form 4, baadae anapata Mhasibu mwenye degree, hivi hapa anafanyaje? utakaa kusubiri mwalimu wa primary au?

Tupeane uzoefu.
 
kikubwa awe na gegedo na papuchi plus tabia njema hizo nyingine material things haya dyanamic yanabadilika shepu,pesa aweza kuwa maskin,urembo utaisha
 
Naangalia kama ana mapenzi ya dhat nakubali tu
 
Ninalo. Naomba nikuoe.
kikubwa awe na gegedo na papuchi plus tabia njema hizo nyingine material things haya dyanamic yanabadilika shepu,pesa aweza kuwa maskin,urembo utaisha
 
Ni kweli wanawake wengi wanakuwa na matarajio makubwa sana kwa anayetaka amuoe lakini kiuhalisia huwa ni ngumu kumpata yule aliyemkusudia katika ndoto zake! na hii inapelekea wanawake wengi wanapotinga 30yrs ndo wanagutuka!

Kwa mfano utakuta mwanamke yeye ni mrefu na anasema kuwa anataka mume mrefu hajui kuwa short men wapo wanaohitaji tall woman ili ku-balance kimo cha watoto.
 
mmmhhh hapooooo ndipo pabayaaa afu sijui kwanin hii mada imeanza daaa
 
mi siwezi kuchagua kwan mi ndiye muumbaji?
 
Mwanamme ndo anamfanya mwanamke ahisi kwamba chaguo alilopata huyo mwanamke wake ni sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…