BWANA WANGU JF-Expert Member Joined Jul 10, 2018 Posts 365 Reaction score 851 Mar 4, 2023 #21 Kitu unacho ona , ndio utakacho pata .
amadala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 4,276 Reaction score 12,388 Mar 4, 2023 #22 tandabui2021 said: Nina hekari 30 lakini bado sijatoboa Click to expand... Ndogo ikiwa huna capital ya kufanya investment katika hizo 30 acres
tandabui2021 said: Nina hekari 30 lakini bado sijatoboa Click to expand... Ndogo ikiwa huna capital ya kufanya investment katika hizo 30 acres
Requal JF-Expert Member Joined Jun 5, 2020 Posts 1,025 Reaction score 1,923 Mar 4, 2023 #23 Cee said: Mahoka babaa View attachment 2536174 Click to expand... Naomba unitumie hii kaka
Muccigang JF-Expert Member Joined Apr 9, 2022 Posts 1,314 Reaction score 1,941 Mar 4, 2023 #24 Kutoka kwenye umaskini sio kazi rahisi Aisee mm acha nipambane ninapo feli kwenye nidham ya fedha ila nitakua sawa tu soon
Kutoka kwenye umaskini sio kazi rahisi Aisee mm acha nipambane ninapo feli kwenye nidham ya fedha ila nitakua sawa tu soon
Z Zero 2 Hero JF-Expert Member Joined Dec 16, 2012 Posts 649 Reaction score 1,461 Mar 4, 2023 #25 Cee said: Mahoka babaa View attachment 2536174 Click to expand... Jamaa kushusha nondo kali sana.
Robert Heriel Mtibeli Platinum Member Joined Mar 24, 2018 Posts 39,738 Reaction score 92,180 Mar 4, 2023 #26 tandabui2021 said: Nina hekari 30 lakini bado sijatoboa Click to expand... Huna Akili. Kazichukulie Hati. Kisha unaweza kulima, au kufanyia ufugaji. Au chukulia mkopo, fanya biashara.
tandabui2021 said: Nina hekari 30 lakini bado sijatoboa Click to expand... Huna Akili. Kazichukulie Hati. Kisha unaweza kulima, au kufanyia ufugaji. Au chukulia mkopo, fanya biashara.