Kukariri kubaya sana!

Kukariri kubaya sana!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Dada mmoja alikuwa bafuni akioga,mara akasikia hodi ikipigwa mlangoni,akajibu karibu huku akijisetiri kwa taulo na kanga ili akampokee mgeni.Alipofungua mlango,akakutana uso kwa uso na kijana mmoja kipofu aitwaye John,akamkaribisha kiti,kwa sababu anajua John ni kipofu,akavua taulo lake na ile khanga,akachukua mafuta ya lotion akaanza kujipaka kwa mbwembwe na pozi za kila aina.
"Enhee rafiki yangu john,nambie,kuna jipya?umeadimika saana rafiki yangu.John akamjibu,"yaap ni kweli niliadimika saana kwasababu nilikuwa China kufanyiwa operation ya macho na sasa nina uwezo wa kuona vizuri kabisa,kwa hiyo lengo la kuja hapa ni kukualika uje katika sherehe niliyoiandaa kujipongeza kwa operation kwenda vyema.
 
dada mmoja alikuwa bafuni akioga,mara akasikia hodi ikipigwa mlangoni,akajibu karibu huku akijisetiri kwa taulo na kanga ili akampokee mgeni.alipofungua mlango,akakutana uso kwa uso na kijana mmoja kipofu aitwaye john,akamkaribisha kiti,kwa sababu anajua john ni kipofu,akavua taulo lake na ile khanga,akachukua mafuta ya lotion akaanza kujipaka kwa mbwembwe na pozi za kila aina.
"enhee rafiki yangu john,nambie,kuna jipya?umeadimika saana rafiki yangu.john akamjibu,"yaap ni kweli niliadimika saana kwasababu nilikuwa china kufanyiwa operation ya macho na sasa nina uwezo wa kuona vizuri kabisa,kwa hiyo lengo la kuja hapa ni kukualika uje katika sherehe niliyoiandaa kujipongeza kwa operation kwenda vyema.
inaelekea huyo dada hana mvuto kabisa,jamaa hata kutamani?
 
tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe hetee e
 
Dada mmoja alikuwa bafuni akioga,mara akasikia hodi ikipigwa mlangoni,akajibu karibu huku akijisetiri kwa taulo na kanga ili akampokee mgeni.Alipofungua mlango,akakutana uso kwa uso na kijana mmoja kipofu aitwaye John,akamkaribisha kiti,kwa sababu anajua John ni kipofu,akavua taulo lake na ile khanga,akachukua mafuta ya lotion akaanza kujipaka kwa mbwembwe na pozi za kila aina.
"Enhee rafiki yangu john,nambie,kuna jipya?umeadimika saana rafiki yangu.John akamjibu,"yaap ni kweli niliadimika saana kwasababu nilikuwa China kufanyiwa operation ya macho na sasa nina uwezo wa kuona vizuri kabisa,kwa hiyo lengo la kuja hapa ni kukualika uje katika sherehe niliyoiandaa kujipongeza kwa operation kwenda vyema.

hapo sasa, nimeipenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom