Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,919
- 221,297
Twende mahakamani mkavuliwe nguoAliyekuwepo gizani ni Mbowe peke yake. Alikuwa gerezani kwa Ugaidi. Gerezani ikifika saa fulani, taa zinazimwa giza linatamalaki.
CHADEMA isiendeshe sera zake kwa matakwa na vinyongo binafsi vya Mbowe. Lugha iliyotumiwa inatoa kielelezo.
"The right cannot be given as a gift by the oppressor it must be demanded by the opressed."
Punguza ujinga mpaka siku akikamatwa mjomba wako ndio akili itakujiaWatoa taarifa.
Pambaneni na polisi muwatoe makamanda,nendeni kwa maandamano.
Mtafafu ni nini?
Tulitaka kufanya hivyo ila Boni Yai katutulizaPambaneni na polisi muwatoe makamanda,nendeni kwa maandamano.
Msikubali,nyie nendeni tuu kuonesha dunia demokrasia ya nchi imeshuka,komaeni makamanda kwani polisi kitu gani...Tulitaka kufanya hivyo ila Boni Yai katutuliza
Wasipotolewa usiku huu asubuhi tunakinukishaMsikubali,nyie nendeni tuu kuonesha dunia demokrasia ya nchi imeshuka,komaeni makamanda kwani polisi kitu gani...
...subiri uchunguzi ukamilike bwashee. Nyie ni wazushi tu, huwa mnakuja na uharakati wenu, ushahidi na uthibitisho wa kuunga unga mahakamani hamuendi😌🤦🏾♂️Twende mahakamani mkavuliwe nguo
Ah wapi, tisha tisha toto tu😂😂😂😂Wasipotolewa usiku huu asubuhi tunakinukisha
Ndio kamanda,ntakukumbusha mapema kesho,piiiiiiiipooooooozzzzWasipotolewa usiku huu asubuhi tunakinukisha
Pambaneni na polisi muwatoe makamanda,nendeni kwa maandamano.
Wasipotolewa usiku huu asubuhi tunakinukisha
It will be only a 'temporary pain-killer,' not the permanent solution for the problem.Dawa ni kufanya maandamano ya kufunga mitaa yote ya kuingia katikati ya jiji.