Kuna ukweli, mjini kama huna hela sio pakukaa.Vijana wanalima wanapiga pesa kijijini na wanajenga wananunua ndamA wanawaboresha ukikaa mjini bila mtaji au kazi utaishia kuvaa na kumiliki simu
Hakika mzee kijijin hakunaga maishaNakuunga mkono 100%
Mimi kukosa Baba Angu kunichukia Basi naamin ningekuwa mwanakijij saizi , Dingi alikuwa hapatani na Mimi ikapelekea kunifukuza home kwa Nguvu za police , ilichukua muda Sana kuamini katika maisha ya kupanga , ila nilifanikiwa kuingia town nakuanza maisha ya kupanga , taratibu nikaanza kujitafuta mpaka sasa Namshukuru Mungu , kitu ambacho bado sijamiliki ukiondoa nyumba , viwanja ,mashamba , pkpk baskeli Basi NI gari Tu ndo nalitafuta soon nitaendesha ndinga na family [emoji120]
Hahaha.....na kuwa mjuaji wa kutumia Facebook, Insta, twitter na TelegramVijana wanalima wanapiga pesa kijijini na wanajenga wananunua ndamA wanawaboresha ukikaa mjini bila mtaji au kazi utaishia kuvaa na kumiliki simu
Barikiwa Mtumishi na Endelea kupambanaNakuunga mkono 100%
Mimi kukosa Baba Angu kunichukia Basi naamin ningekuwa mwanakijij saizi , Dingi alikuwa hapatani na Mimi ikapelekea kunifukuza home kwa Nguvu za police , ilichukua muda Sana kuamini katika maisha ya kupanga , ila nilifanikiwa kuingia town nakuanza maisha ya kupanga , taratibu nikaanza kujitafuta mpaka sasa Namshukuru Mungu , kitu ambacho bado sijamiliki ukiondoa nyumba , viwanja ,mashamba , pkpk baskeli Basi NI gari Tu ndo nalitafuta soon nitaendesha ndinga na family [emoji120]
MIMI NIMEISHI ULAYA SANA.HAPO ULIPO FIKA UNAONA UMEFIKA WAKATI NI KIJIJI KILICHOCHANGAMKA KUITWA MJI. NENDA ULAYA UKAJIFUNZE FAIDA YA KIJIJINI KWA NINI ZINA MAFANIKIO KWA DUNIA YA SASAMi nimeish kijijn na sas nipo town nayajua maisha kijijjn tusibishane hap
Hahahaa.....huko mashambani watu wamechoka balaaKama unataka mali utaipata shambani
Sasa milion 50 ndio kapiga pesa hapo?Ww kaa na akili zako hivyo hivyo kuna watu wanapiga hela mara hata kumi ya vihela unavyokimbizana nazo huko town.Kuna dogo aliuza tu mpunga wake kapiga m 50 ww una hata m 5 hapo
Umewasahau na nyoka kaka🙄🙆We acha tu ukiamka asubuh kila utembeapo unapishana na miembe na nyumb za nyasi tu
Dont conclude in that, kila mtu panamfaa mahali anapoishi kulingana na mtazamo wake (Vision)Habari wana jf napenda kutanguliza huu uzi kama ulivyoandikwa hapo juu. Najua kuna baazi ya watu hawawezi kunielewa. Ila ukweli upo hivi kukaa kijijin kwa kijana unaejitafuta kimaisha ni kufeli na nasema hivi kwasbabu nazoziona mimi.
Cha kwanza.... KUZUNGUKWA NA WATU WASIOSAHIHI NA WENYE MITAZAMO HASI.
Kijijini watu wengi hawaamin kuish ndoto zao na wanaamin kila aliyefanikiwa ni mchawi, freemason,jambazi.. na kila ukijaribu kufanya kitu tofaut na mila za hapo kijijin. Wengi hawaamin unaweza kufanikiwa watakukatisha sana tamaaa
2.KUDUMAA AKILI NA KULIZIKA MAPEMA.
kijijni ukimilki pikpik tu wanaanza kukuita boss kitu ambacho kinalufanya ujionee umefanikiwa na kulizika mapema.
Pia hata mazingira hayaruhusu mtu ukue kiuchumi unakosa sehem ya kutizamia au role model tofaut na mjin
3.MZUNGUKO WA PESA NI MDOGO SANA
Kijjn ni rahis sana kuuwa pesa ukifungua biashara kutokana na mzunguko. Pesa huja mara moja tu wakat wa mavuno na kuna baazi ya biashara kama nguo baazi ya wanakijij huwa na dhana kwamba kununua nguo mpka sikukuu au safari. Na ukinunua nguo bila kuzingatia hivo vitu husema unaharibu pesa au unatumia pesa ovyo
5.KUKOSA NDOTO ZOZOTE
kijijin mtu akiamka asubuh anaenda shamba na akirud shamb anawaza aoge akae kijiweni apige stori bas siku imeisha. Na kubishana na vitu visivokuwa na msingi na kupiga umbea
Kiufupi yapo mengi yanayomzuia mtu kukua na kuwa na mtazamo chanya ila kwa machache ndo hayo
NB.ushauri wangu kama unajitafuta kimaisha usikae kijijini sana ni bora uanze na level za wilaya
ILA KUKAA VIJIJINI VIJANA WENZANGU NI KUFELI KIJIJINI HAKUNA MAENDELEO NA NDO MAANA HAKUNA AFSA BIASHARA WALA MASOKO
KIJIJINI SHUGHULI KUBWA NI KILIMO NA NDO MAANA KUNA AFSA KILIMO
kama una maoni unaweza ukashare ila mi kwa mtazamo wangu upo hivyo