Wakuu
Kama uzi unavyojieleza,naomba uzi huu uwe special kwa ajiri ya kujifunza kufunga ma-Dish ya Azam,Dstv na Continental
Je,kuwa fundi wa Dish unatakiwa kuwa na vifaa gani?
Asanteni
Wakuu
Kama uzi unavyojieleza,naomba uzi huu uwe special kwa ajiri ya kujifunza kufunga ma-Dish ya Azam,Dstv na Continental
Je,kuwa fundi wa Dish unatakiwa kuwa na vifaa gani?
Asanteni
hapo mtafute fundi aliye karibu nawe kubali kupoteza muda wako utafahamu tu.kuna jamaa nilimfungia dish mwaka jana siku hizi ameshaijua kazi hii maana amekuwa na bidii sana.mara kwa mara amefika kwangu akihitaji msaada na akifika huwa navuruga madish yangu na kuanza kumpa somo kwa vitendo
Kwa Beginner kabisa tafuta fundi ukae nae walau siku moja tu uta master ukichanganya na YouTube basi utagain sana Skills unahitaji spanner size hii 10 mpaka 14 uwe na Satfinder zipo ambazo zinakuwa buildin na display ,Nyundo na Sprit level kwa ajili ya kuweka level surface au kujua Level iliyonyooka, Kila Dish lina uelekeo wake kulingana na Satellite unayoiwinda kwa hilo dish