Kaka USISEME HATUNA HELA , sema sina hela wenzio wanakawaida ya kusave ili kujivinjali mapumzikoni wakati miradi inaendelea kuingiza hela, watoto washaenda shule.... IGA ni desturi nzuri kimaishaHii January kumbe Kuna watu huifananisha na December aisee!!..kweli hatufanani
Sent using Jamii Forums mobile app
Refreshment, after hard work, wewe kuwa na hard time mpaka ufe........ But me! Not.
Swali zuri madame, maisha, investments, new ideas, past experiences. nk. Kwani mtu anapokuwa yupo Toroka Uje Tabata anakunywa moja moto moja baridi unadhani alokutana nao pale anapiga story gani hasa!?Sasa mtakua mnachart nini cha mno?
Swali zuri madame, maisha, investments, new ideas, past experiences. nk. Kwani mtu anapokuwa yupo Toroka Uje Tabata anakunywa moja moto moja baridi unadhani alokutana nao pale anapiga story gani hasa!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu interest zipo tofauti sana, wengine walevi, ila sie wenye ulevi wetu mtuacheMiaka 35...kuchat inakuwa ngumu sn kila navyozidi kuzeeka unless nina interest naww n we av lots to talk.
Ila ukinichefua hapa JF panakuwa pakubwa tunaweza kukaa hata mwaka hatuonani hata kwny uzi mmoja
Pole sana ndugu.Hii January kumbe Kuna watu huifananisha na December aisee!!..kweli hatufanani
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye ananafasi yake na maisha au hobby nazo zinanafasi yake kumbuka kuwa wanawake wote sio sawa unaweza mwanamke ukampa 2mil leo baada ya wiki ukaikuta au usiikute, na yupo ukampa kiasi sawa na hicho lakin kesho ukaikuta na imeongezeka na anachakufanya hata genge la nyanya na nazi. So sio wote ni washauri au wana experience na maishaKwa umri huo nadhani tayari una mwenza, si ndo muwe mnachat sasa na kuongea vitu km izo ulizotaja
Sawa mkuu najua uliongea kwasababu huna anaekutegemea!Pole sana ndugu.
Kuna siku nilisema; ukijibana November na December; January na February unaishi kizungu.
Usifikiri wote tulitumia zote December.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Rojas wewe unataka nini? Kabisa umeamua kutudanganya eti unataka wa kuchat tu? Mmmh!😁 uko wasap video call zitakuwa za kazi gani?😁Wana J , nina umri wa miaka 35 na ninapenda sana chating na kutoka/kutembea maeneo mbalimbali, Shida yangu nahitaji Mdada Mmoja wa kuchat nae na kuwa natoka nae, SIO KIMAPENZI, awe mjanja kama vile miss natafuta, miss chaga nk Mwanadada aliyetayari aniPM.... Umri sio kigezo kwangu. Asante[emoji106]
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa anamuuliza mvua kama zinanyesha kijijini😁
Ahahahs usijali mie vizinga cviogopi, wala hitosikia na uanze tu kuniita mwanaume wa nguvu in advance [emoji12] [emoji12]Wewe Rojas wewe unataka nini? Kabisa umeamua kutudanganya eti unataka wa kuchat tu? Mmmh![emoji16] uko wasap video call zitakuwa za kazi gani?[emoji16]
Haya mi yangu macho kabla ya Valentine usiporudi hapa kulalama eti kakupiga kizinga basi tangu Siku hivyo ntakuita mwanaume.[emoji16]narudia tena ntakupa heshima ya mwanaume wa nguvu[emoji16]