parajonse Member Joined Oct 31, 2017 Posts 11 Reaction score 8 Apr 2, 2025 #1 Naomba kujua ni kampuni gani ya betri ya solar ambayo ni imara zaidi,,inayodumu hata kwa kwa zaidi ya miaka mitatu bila kupoteza uimara wake
Naomba kujua ni kampuni gani ya betri ya solar ambayo ni imara zaidi,,inayodumu hata kwa kwa zaidi ya miaka mitatu bila kupoteza uimara wake
Baba Rhobi JF-Expert Member Joined Nov 4, 2020 Posts 1,798 Reaction score 3,257 Apr 2, 2025 #2 Kama budget sio shida tafuta Betri za Lithium.