Kujua na kutojua

Ni bora kujua na kufanya informed decision! Ukiamua kuwa naye ni kwamba umeamua hivyo kwa hiari yako mwenyewe.

Tatizo kwa wale ambao wanaishi ndani ya ndoa utakuta wameishi miaka kama 20 wanasubili 5 tu waweke jubilei sasa unataka ujue nini hapo??? Ukisha jua utafanyaje si ndo mifarakano ndani yanyumba.
 
Back
Top Bottom