Kujua kuchaguliwa nacte

Kujua kuchaguliwa nacte

Raphael Thedomiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2019
Posts
443
Reaction score
729
Ninaomba kufahamishwa kwa mwenye kufahau, kuhusu ratiba ya nacte.Je nitajua kama nimechaguliwa tarehe 15/9 ambapo wamesema ni "online submission of selected students to nacte"? Au ni mpaka ifike tarehe 5/10 ambapo wamesema ni " publication of selected students"?.Nilitaka nifahamu mapema ili kujipanga.
 
Kwa ratiba yao ni tarehe 5/10/2019, lakini kuna vyuo vinavyowasiliana na waombaji na kuwapa taarifa za awali kuwa wamekuchagua lakini uhakika ni hapo NaCTE wakisha pitisha jina lako. Chuo kama Hombolo LGTI "nasikia" vijana wamesha report na masomo yanaendelea. Kuna certificate na Diploma za UDOM wameshatoa list hata sijui wao wako chini ya nani TCU ama NACTE. Shida itakuja vyuo vingi huenda vikafungua around 15/10 hivyo malipo yanaweza kuleta shida.
 
Watakujulisha kupitia profile yako muda wowote na watatoa taarifa kwenye website yao chamsingi niwewe kutembelea website na profile yako mara kwa mara.
 
Kwa ratiba yao ni tarehe 5/10/2019, lakini kuna vyuo vinavyowasiliana na waombaji na kuwapa taarifa za awali kuwa wamekuchagua lakini uhakika ni hapo NaCTE wakisha pitisha jina lako. Chuo kama Hombolo LGTI "nasikia" vijana wamesha report na masomo yanaendelea. Kuna certificate na Diploma za UDOM wameshatoa list hata sijui wao wako chini ya nani TCU ama NACTE. Shida itakuja vyuo vingi huenda vikafungua around 15/10 hivyo malipo yanaweza kuleta shida.
Mkuu asante sana kwa ufafanuzi..kuna jamaa kamaliza cheti sasa juzi katoka ku'apply diploma lakini majina ya Diploma yametoka but Matokeo hayapo wamemwandikia'Missing results'Hajui afanye nini katika hili,matokeo yake kapata GPA 2.7
 
Binafsi jana wamenitumia meseji ya kuchaguliwa kujiunga na chuo hapa dsm (gvt)cert level.
 
Back
Top Bottom