SILLENT KILLER 2
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 834
- 1,592
asante mkuuKama mtaji upo wakutosha weka stationary ndani yake uweke uwakala wakutoa nakuingiza Hela ,line zote na bank zotee,na Cha pili weka mgahawa wakupika chakula kizuri na chips na nyama choma muhimu ,Cha tatu weka glossary maana wanachuo walevi Sanaa Cha mwisho km mkwanja upo wekaa duka la mangi mtaa huo ,na km hela n nyingi Jenga apartment krb na chuo ......
MIOGO, MIOGO MIOGO ukiona mwanachuo anakuambia weka kachumbari pembeni ujue ni mboga ya kulia ugali mchanaHabari wakuu natumaini mko poa. Sasa nilikuwa naomba uchanganuzi/ushauri kuhusu kujiwekeza kufungua labda stationary, mgahawa wa chakula, nguo.
Mimi naishi Kibaigwa, sasa hapa jirani Mtanana wamejenga chuo kikubwa sana na inasemekana kuwa ni chuo kikubwa sana ambacho kitakuwa cha tatu au nne East Africa kitabeba wanafunzi zaidi ya 7,000.
Sasa nikuwa naomba ushauri kuhusu kufungua stationary, mgahawa wa chakula. Kwa experience yenu labda kwa uelewa mliosama hadi chuo na mmeona mnaona kipi kizuri kati ya hivyo viwili kina matter sana
Naomba ushauri.
Mrejesho mkuu uliwahi kufanya hii?Habari wakuu natumaini mko poa. Sasa nilikuwa naomba uchanganuzi/ushauri kuhusu kujiwekeza kufungua labda stationary, mgahawa wa chakula, nguo.
Mimi naishi Kibaigwa, sasa hapa jirani Mtanana wamejenga chuo kikubwa sana na inasemekana kuwa ni chuo kikubwa sana ambacho kitakuwa cha tatu au nne East Africa kitabeba wanafunzi zaidi ya 7,000.
Sasa nikuwa naomba ushauri kuhusu kufungua stationary, mgahawa wa chakula. Kwa experience yenu labda kwa uelewa mliosama hadi chuo na mmeona mnaona kipi kizuri kati ya hivyo viwili kina matter sana
Naomba ushauri.
Jamaa kwa kufufua nyuzi π πMrejesho mkuu uliwahi kufanya hii?
πππ natamani kujifunza mkuu, hapa nataka kujilipua kuweka vimihogo pembeni ya chuo sasa nawaza wale wadada wavaa sketi za mipasuo naweza kutoboa kweli!!Jamaa kwa kufufua nyuzi π π
Ndo mlo pendwa huo Mkuu kwa wanachuoπ π kama una mtaji mdogo ndo biashara ya kuanza nayo kingine ni stationary kwa mwenye mtaji mkubwa at leastπππ natamani kujifunza mkuu, hapa nataka kujilipua kuweka vimihogo pembeni ya chuo sasa nawaza wale wadada wavaa sketi za mipasuo naweza kutoboa kweli!!
Pamoja mkuu, nipo kwenye mchakato wa kupekuwa mawazo huku nikisubiri mtaji, sema ni vile kuendekeza ubishoo tu ila sijawahi kuona kijiwe cha mihogo ambacho hakina foleni mjini.Ndo mlo pendwa huo Mkuu kwa wanachuoπ π kama una mtaji mdogo ndo biashara ya kuanza nayo kingine ni stationary kwa mwenye mtaji mkubwa at least