karama kaila
Senior Member
- Jan 30, 2015
- 122
- 60
Nimekumbuka mwaka 1995 Wakati CDM ilipoamua kumuunga mkono Agustino Mrema kupitia NCCR na Hali ilikuwa Kama hii CCM alipitishwa Benjamin MKAPA na Edward Lowassa alikatwa kwa kuwa alikodi ndege ya kwenda Dodoma yeye na rafiki zake Jakaya Kikwete yeye kura hazikutosha.
Makubaliano ya CDM na NCCR yalikuwa Baada ya uchaguzi wagawiwe ruzuku 25% na pia wabunge wao waingizwe kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni.
Baada ya uchaguzi Agustino Mrema akakataa yote hayo akutoa mgao wa ruzuku wala akuwajumuisha kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni.
Ndiyo maana Leo Mrema amekaa nje ya UKAWA kwani anajua what comes around goes around.
Mwaka 2000 CDM wakaamua kumuunga mkono Ibrahim Lipumba kupitia CUF na makubaliano yalikuwa Yale Yale 25% ya ruzuku na kuunda kambi ya upinzani ya pamoja bungeni.
Baada ya uchaguzi CUF wakagoma kutoa ruzuku na pia kuunda kambi ya upinzani bungeni.
Mwaka 2005 kila chama kikaweka mgombea wake wa uraisi bila makubaliano yoyote.
Mwaka 2010 kila chama kikaweka mgombea wake wa uraisi Baada ya uchaguzi CDM kikapata wabunge wengi na wakaunda kambi rasmi ya upinzani bungeni wenyewe.
Mwaka 2014 uakaundwa UKAWA wakakubaliana kuunda kambi ya upinzani ya pamoja Ndani ya bunge na likafanyika.
Mwaka 2015 ni Zamu ya CDM kuungwa mkono na CUF na NCCR chini ya mwavuli wa UKAWA makubaliano yanaelekea kuwa;-
1.mgombea urais atatoka CDM 2.kila kigogo anayetoka CCM atajiunga na CDM.
3.mgombea mwenza ahame chama chake ajiunge na CDM
4.CDM kwa kuwa inamgombea uraisi na inapokea vigogo kutoka CCM ndiyo itasimamisha wabunge wengi na madiwani wengi.
Nini matokeo yake Kama UKAWA itashinda Urais;-
1.raisi atakuwa ni CDM
2.makamu atakuwa CDM
3.waziri mkuu anatokana na chama chenye wabunge wengi atakuwa CDM
4.Mawaziri watatoka CDM kwasababu waende kutekeleza ilani Yao ya CDM.
5. Washirika wengine wa UKAWA wataendelea kuwa vyama pinzani
6. Wakitaka kujumuishwa kuunda kambi ya upinzani bungeni itawabidi wajitoe UKAWA na kujiunga na CCM.
Nini matokeo Yake Kama UKAWA itashindwa uraisi
1.CDM itapata wabunge wengi
2.CDM itapata ruzuku nyingi
3.CDM itapata viti maalum wengi
4.CDM itaunda kambi ya upinzani bungeni ikiwaalika vyama vingine vya UKAWA
5.CDM itaendelea kuimarika kwa kupata wanachama wengi na fedha za kuendesha operation mbalimbali za chama
6.vyama vingine vya UKAWA vitapata wabunge wachache kwa sababu wamesimamisha wachache
7.watapata ruzuku kidogo
8.vyama vitashindwa kuendesha operation za kujijenga hivyo kitakufa taratibu na wanachama wao watazidi kujiunga na CDM maana ndiyo watakiona chama imara cha upinzani.
8.watapata viti maalum wachache
Inahitaji maamuzi ya ubinafsi sana Kama ya Maalim Seif ya kutaka yeye asaidiwe kushinda Zanzibar ndiyo kujiunga na UKAWA.
Ama maamuzi ya ubinafsi Kama ya Mbatia kwa ajili yeye asaidiwe kushinda Vunjo ndiyo kujiunga na UKAWA.