JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 276
Fafanua jinsi kima hicho kinavyomwezesha kupata huduma zipi mwanachamamillion moja na nusu
Mimi nilikatwa kidomodomo, niko kwenye tiba mbadala.Habari ndugu!
Nataka kujua gharama za kujiunga na bima ya afya NHIF kama mwanachama binafsi kiwango cha chini ni shilingi ngapi kwa mwaka?
Kwa watu 6million moja na nusu
hata ukiwa mmoja peke ako.ni hiyohiyoKwa watu 6
Ndio si unaweza ukaongeza familia muda wowotehata ukiwa mmoja peke ako.ni hiyohiyo
unaweza kulipa nusu kwa miezi 6?million moja na nusu
unaweza kulipa nusu kwa miezi 6?
baada ya malipo huchukua muda gani kupata kadi?unailipa pamoja.. siku moja..
na ukilipa hautibiwi hadi zipite siku 21..
na baada ya hapo unaanza tibiwa.. mwaka wa kwanza haitibu magonjwa makubwa wala vipimo vikubwa...
mwaka wa pili ndio inatibu magonjwa makubwa
baada ya malipo huchukua muda gani kupata kadi?
shukransiku 21
Bima ya gari au bima ya afya hiyomillion moja na nusu
Laki na nusu kwa mwakaHabari ndugu!
Nataka kujua gharama za kujiunga na bima ya afya NHIF kama mwanachama binafsi kiwango cha chini ni shilingi ngapi kwa mwaka?
kuna mdau huko juu kasema milioni moja na nusu,ipi sahihi?Laki na nusu kwa mwaka
hii hapamillion moja na nusu
Laki na nusu kwa mwaka
Sasa huo mwaka wa pili inakuwaje wakati ukilipa milion 1.5 inadumu kwa mwaka mmoja tu?unailipa pamoja.. siku moja..
na ukilipa hautibiwi hadi zipite siku 21..
na baada ya hapo unaanza tibiwa.. mwaka wa kwanza haitibu magonjwa makubwa wala vipimo vikubwa...
mwaka wa pili ndio inatibu magonjwa makubwa
Sasa huo mwaka wa pili inakuwaje wakati ukilipa milion 1.5 inadumu kwa mwaka mmoja tu?
Au ndo inabidi ulipe 1.5 nyingine?
Naomba kueleweshwa mkuu