wazee wanamna gan!!wapo vijana bhana vyuon asilimia 97% we unazungumzia wazee,upo dunia gan ya sasa age 24-29 ni wazee ol ndo nguvu kaz
kufoj vyet sio inshu xo unashauri watu wafoj vyet kwel?duh ama kwl hii ndo bongo yenye watu wake wa namna hii@billie usishauri watu kufoj nyaraka za serikal bhana somethng can turn out hot may sunbae.