Kujiunga na internet..............

bakuza

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
490
100
Samahani wandugu wa ndani humu naomba nisaidiwe ni jinsi gani naweza kuiunga simu ya Tecno na internet ya mitandao ya tigo na Airtel........
 
Siku hz kuna vijana wamefungua vijiwe kwa ajili ya kuunganisha internet kwenye simu. Kwa hapa Dom wapo Nyerere Square. We uko wapi??
 
tecno model gani? weka apn{access point}=internet. proxy=no username=empty password=empty then u are done
 
Back
Top Bottom