simplee_tz
Member
- Aug 14, 2017
- 23
- 12
Ndiyo mkuu nina subscribe 1200 hukoHiyo channel in subscribers 100?
Mkuu ninao wengi tu zaidi ya haoJe?
Ume verify youtube account yako na kuwa na subscribers 100 na kuendelea kwenye channel yako?
Maana hayo ndio kati ya masharti mawili ya kupata kitufe cha Live broadcast kwenye YouTube app yako.
Kama hapana, verify account yako kwa maelekezo haya:
Verify your account by phone - YouTube Help
Na kama Hauna subscribers hao tafuta.
Au kuna baadhi ya apps za kusaidia kufanya hichi.
Na verification ya account umesha fanya?Mkuu ninao wengi tu zaidi ya hao
Kila kitu tayari account iko verify na kitiki juuNa verification ya account umesha fanya?
Sio kweliKila kitu tayari account iko verify na kitiki juu
Kwa nini sio kweliSio kweli
Embu nenda kwenye app settings, alafu App permissions za YouTube alafu ruhusu Mic, Storage na Camera kama hiviKila kitu tayari account iko verify na kitiki juu
Embu nenda kwenye app settings, alafu App permissions za YouTube alafu ruhusu Mic, Storage na Camera kama hivi
Alafu nenda kwenye app bonyeza hicho kitufe angalia kama Live broadcast imetokea
TAYARI, Bonyeza tu hiyo "GO LIVE" Utakuwa una broadcast live kwa subscribers wakomkuu inakuja hivyo
Sub 1000 na upo verifiedKwa nini sio kweli
yaani hata picha huoni mkuu?mkuu inakuja hivyo
Swadakta mkuu hapo hapo ndo nataka hivyo mkuuyaani hata picha huoni mkuu?
bofya hapo go live urushe matangazo yako mubashara
๐๐๐๐
Au unataka uonyeshe movie/documentary live kama ANIMAX wanavyo onyesha live zile movie zao za wanyama
Acha akudanganye ukapigwe copyright hukoSwadakta mkuu hapo hapo ndo nataka hivyo mkuu