Kujiunga live YouTube

Kujiunga live YouTube

simplee_tz

Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
23
Reaction score
12
Habari wakuu.. nina YouTube channel sasa naitaji kwenda live kupitia video mfano kama baadhi ya channel za online muda mwingine unawakuta live wamejiunga na TBC wengine live wameweka bongo movie.. sasa ni njia gani wanatumia kujiunga hivyo.. msaafa wakuu tafadhari
 
Je?
Ume verify youtube account yako na kuwa na subscribers 100 na kuendelea kwenye channel yako?

Maana hayo ndio kati ya masharti mawili ya kupata kitufe cha Live broadcast kwenye YouTube app yako.

Kama hapana, verify account yako kwa maelekezo haya:

Verify your account by phone - YouTube Help

Na kama Hauna subscribers hao tafuta.

Au kuna baadhi ya apps za kusaidia kufanya hichi.
 
Mkuu ninao wengi tu zaidi ya hao
 
Kila kitu tayari account iko verify na kitiki juu
Embu nenda kwenye app settings, alafu App permissions za YouTube alafu ruhusu Mic, Storage na Camera kama hivi
1ddc7743a836edd2984f9081706afab8.jpg

Alafu nenda kwenye app bonyeza hicho kitufe angalia kama Live broadcast imetokea
85cfe6c2dc71f2b62b576c5e7364ea68.jpg
 
1de2cc071a065727e8972d5d6321df9d.jpg
mkuu inakuja hivyo
 
1de2cc071a065727e8972d5d6321df9d.jpg
mkuu inakuja hivyo
yaani hata picha huoni mkuu?
bofya hapo go live urushe matangazo yako mubashara
😀😀😀😀
Au unataka uonyeshe movie/documentary live kama ANIMAX wanavyo onyesha live zile movie zao za wanyama
 
yaani hata picha huoni mkuu?
bofya hapo go live urushe matangazo yako mubashara
😀😀😀😀
Au unataka uonyeshe movie/documentary live kama ANIMAX wanavyo onyesha live zile movie zao za wanyama
Swadakta mkuu hapo hapo ndo nataka hivyo mkuu
 
Back
Top Bottom