Vizuri uwe unafuatilia kwenye ofisi za wakuu wa wilaya,katibu tarafa au watendaji kijiji/kata.
Hapo utapata taarifa kwa haraka zaidi maana kuna wale wanajeshi wako wilayani wanaitwa washauri wa mgambo watakupa taarifa vizuri.
Pia soma vyombo vya habari(magazeti) huwa wanatangaza kupitia hapo.
Taarifa zikipatikana hapa jf huwa watu wanaweka,uwe unaweka thread mara kwa mara kuulizia kama zitakua zimetoka.
Hope wadau watakupa updates zaidi. Hongera kwa kua na nia ya kulitumikia taifa.