Kujitolea United Nations(UN)

Kujitolea United Nations(UN)

Boeing787-8

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
1,197
Reaction score
1,287
Wakuu nilipokalibia kumaliza chuo nilijaribu kutafuta connection maana mtaani kugumu, Basi nka apply volunteering at UN, baada ya miezi mitatu kupita mara paaaaaa! Natumiwa sms kuwa nimechaguliwa kuwa UN volunteer, sasa me ni mwalimu bado nasaka shule ya kufundisha..

Sasa sijui nifanyeje, sijui kama UN wanatoa ata posho au unajitolea tu, wakuu anayejua kujitolea katika UN naomba mnipe detail zaidi, karibu
 
Acha ujinga. Nenda ndugu wanalipa vema. Ina maana wakati watafuta taarifa zao hukuona masuala ya malipo? Unatengeneza CV nzuri wakati huohuo wanalipa hela nzuri ingawa wao wanaiita hela ya kujikimu ambayo inakua ni monthly stipend
 
Hasante
 
Kuwa makini.. UN hawachukui watu kizembe namna hiyo.. Kuna mlolongo mrefu sana wa interview.. Am speaking from experience niliwahi kufanya interview zao miaka miwili iliyopita nikaishia njian.
 
Jamaa yangu alikua analipwa posho karibu usd 2000 kwa mwezi na hiyo ni 5 years back na akapata.mchongo mwingine huko huko wa kudumu AU...nini ualimu kupata UN volunteer ni zaidi ya kupata ajira ya kudumu BOT yetu!..wewe hata wakikuambia hawakulipi mishahara nenda posho yao ni mshahara tosha
 
Jiandikishe hapa .....

Inspira

Mungu akipenda watakuandikia email ya kuanza mchakato wa interviews.

Usikate tamaa..ila bila mtu huko ni bahati sana kuingia!!
 
Back
Top Bottom