Wazo zuri kaka. Hakika huku ndipo tulipofikia. Hatunabudi kuwa na mawazo kama yako mkuu. Nchi za wenzetu kujitolea ni jambo jema na huwa linafikiriwa kwa jicho la tatu ila hapa utaonekana una njaa.
Cha kufanya zunguka kwenye mashule ya private hasa yale ya dini hasa RC pande za ARUSHA, MOSHI, TANGA na PWANI hautakosa ajira ya kudumu kama nia na uwezo unao