sanga misuka Member Joined Aug 24, 2017 Posts 49 Reaction score 61 Oct 15, 2024 #1 Je inawezekana kwa mwanafunzi wa chuo anayesoma akawa anajitolea kufanya kazi kwenye kampuni au taasisi nje na chuo anachosoma Nini maoni yako na utaratibu wake ukoje, na ushuhuda kutoka kwa watu waliowahi kufanya hivyo kipindi wapo chuo. Asante
Je inawezekana kwa mwanafunzi wa chuo anayesoma akawa anajitolea kufanya kazi kwenye kampuni au taasisi nje na chuo anachosoma Nini maoni yako na utaratibu wake ukoje, na ushuhuda kutoka kwa watu waliowahi kufanya hivyo kipindi wapo chuo. Asante
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,926 Oct 15, 2024 #2 Anajichosha tu
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,234 Reaction score 17,826 Oct 15, 2024 #3 sanga misuka said: Je inawezekana kwa mwanafunzi wa chuo anayesoma akawa anajitolea kufanya kazi kwenye kampuni au taasisi nje na chuo anachosoma . Nini maoni yako na utaratibu wake ukoje, na ushuhuda kutoka kwa watu waliowahi kufanya hivyo kipindi wapo chuo, Asante Click to expand... Kwa mfumo wenu Wa Kitanzania inabidi uwe unasoma course za jioni. La sivyo utafia kazini kwa uchovu.
sanga misuka said: Je inawezekana kwa mwanafunzi wa chuo anayesoma akawa anajitolea kufanya kazi kwenye kampuni au taasisi nje na chuo anachosoma . Nini maoni yako na utaratibu wake ukoje, na ushuhuda kutoka kwa watu waliowahi kufanya hivyo kipindi wapo chuo, Asante Click to expand... Kwa mfumo wenu Wa Kitanzania inabidi uwe unasoma course za jioni. La sivyo utafia kazini kwa uchovu.
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 37,347 Reaction score 56,072 Oct 15, 2024 #4 Kama nafasi ipo hakuna shida
sanga misuka Member Joined Aug 24, 2017 Posts 49 Reaction score 61 Oct 19, 2024 Thread starter #5 Kivipi anajichosa?? To yeye said: Anajichosha tu Click to expand...
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,926 Oct 19, 2024 #6 sanga misuka said: Kivipi anajichosa?? Click to expand... Hiyo pesa ya kusoma ni kheri akachukue bello moja la mtumba
sanga misuka said: Kivipi anajichosa?? Click to expand... Hiyo pesa ya kusoma ni kheri akachukue bello moja la mtumba