Alfu Lela Ulela
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,255
- 77
we kurupuka tu; nimezungumza naye leo.... na kama nilivyosema nasubiri serikali yenu imlipe kwanza ndio tutawawekeza huo mgongano wa hoja. Nilitunga vipi stori wakati kinyume na maelezo uliyoyasoma sauti yake ilisikika akiikana Dowans? au wewe hukumsikia?

Mwanakijiji hao ndio sehemu ya dowans wametumwa Heshima yako iko juu na kazi zako tunazithamini. Asikuvunje moyo huyo.
Ndugu yangu Mwanakijiji, nimekufahamu kwa muda mrefu kupitia humu jamvini na sehemu nyingine kwa nguvu ya hoja zako zilizojaa ukweli na uhakika . Nakuheshimu sana na naheshimu mawazo yako pia. Ila nadhani umenitafsiri kinyume.
Sijasema umeumbuka wala siwezi kuthubutu kusema hivyo. Ila nimehoji. Thread yangu ukiisoma vizuri utagundua si taarifa (statement) bali nimehoji. Nia yangu ni kutaka kujua uhalali wa Adawi kuikubali DOWANS wakati alishaikana kwenye interview yako.
Narudia tena, mimi nimehoji tu. Na sidhani kama nimefanya makosa kuhoji. Im sorry for any incoviniece that happened kama ulinitafsiri tofauti na nilivyokusudia. Ila naamini ilikuwa haki yangu kuhoji na kujibiwa ipasavyo.
najua jinsi ya kutumia maneno vizuri sana; hukuhoji bali umeashiria; kwa sababu ingekuwa ni maandishi niliysema "alichosema" basi ningeweza kuwa nimetunga kama ulivyo"hoji". Sasa yeye alisikika akisema kuwa haijui Dowans.. sasa leo anakuja na kusema anaimili.. iweje mimi ndio niumbuke kwa kitu alichokisema yeye? Labda swali lako la kuhoji ungeliweka sawasawa kwanini yeye aliyeikataa Dowans sasa aikubali?

Al Adawi hana tofauti na vishoka wa Tanesco wanaounganisha umeme wa wizi wakiona polisi wanakuwa na wasiwasi nafikiri nayeye kaogopa Interpol, labda tuwaulize wanaomshabikia kwanini kaondoka haraka haraka hivi.Hivi ni kwa nini mmiliki wa Dowans kaondoka in a hurry bila kutatua tatizo lililopo. Je, amelipwa mpunga wake? Je, ameahidiwa nini? Je ilikuwaje aondoke bila kuonana na wanahabari kujibu chokochoko zao? Je, alihofia kuburuzwa na takukuru? Ilikuwaje aonane na makamu wa rais wakati mikataba yake inaonekana ni ya kishikajishikaji zaidi. Hivi matapeli nao wanaweza kwenda Ikulu ili mradi tu pochi yao ni kubwa? Je kwa nini aende Ikulu na sio tanesco ambao ndio wana mkataba naye. Je alionana na kiongozi yeyote wa Tanesco? Vipi TRA wanaidai hii kampuni chochote?