ngome urasa
Senior Member
- May 27, 2016
- 105
- 35
Hii inadhihirisha jinsi demokrasi ya kweli ilivokomaa katika nchi za wenzetu.Wengi,wape! Pia nia ya kutaka kujiuzulu kwa waziri mkuu wake inaonyesha jinsi viongoz wa wenzetu wanavyoheshimu mawazo na maamuzi ya raia wao.