KUJITOA jF

heshima mbele,
jaman nimejiuliza swali leo je kama nikitaka kujitoa Jamii Forum nafanyeje??au ndo ukishajiunga imetoka hiyo

Weka na sababu za kujitoa basi,Au kuna umri ukifika unajichomoa kama uso wa kitabu?
 
kumbe inasababisha hasira ee! mi sikujua

ndo hivo sasa inaonekana hawa wanaonivamia na majibu ya ajabu ajabu hawapati huduma hao.
hata hivyo me sijasema ninajitoa JF jaman ni swali tu niliuliza
 
heshima mbele,
jaman nimejiuliza swali leo je kama nikitaka kujitoa Jamii Forum nafanyeje??au ndo ukishajiunga imetoka hiyo


Hakuna matokeo yasiyo na maingilio.
Tumia njia uliyoingilia kwa ajili ya kutokea.
 
mtusi dem wa invisible humu jf uone..especially akikustukia we ni ME
 
Hahahahaha Ankal bana..... umepotea sana mjomba. Hizi bia ntazimaliza peke yangu kweli?
niite tu mi sichagui mbuga haya; myama sawa, mlima kwetu, mkonga penyewe kasoro 'journer' maana maderva hawaeleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…