SWEET GIRL
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 520
- 377
umemaliza kila kitu mkuu....asiendelee kujaza saver....Uliyoingia ulimuuliza nani? Ulivoingia potea hivohivo. Hukuwa na sababu ya kutuaga...
Kapumzike kwa amani.
aingiaye pasi na hodi huondoka pasi kuagaUliyoingia ulimuuliza nani? Ulivoingia potea hivohivo. Hukuwa na sababu ya kutuaga...
Kapumzike kwa amani.
Hahahahaha Ankal bana..... umepotea sana mjomba. Hizi bia ntazimaliza peke yangu kweli?aingiaye pasi na hodi huondoka pasi kuaga
du watu wanamahasira!..acha kabisa.nasikia ukiona mtu anahasira whether mwanaume au mwanamke ujue hapati ile kitu tehe tehe tehe