M Mikanjuni Member Joined Jan 27, 2012 Posts 59 Reaction score 15 Aug 14, 2015 #1 Mwenye sheria ya kujitoa kwenye vya vya wafanyakazi kama cwt atujuze tutaupata wapi. Hii ni kutokana na kuputishwa kwa muswada bungeni wa kila mtu kuwa huru na kuchagua union atakayo. Asante
Mwenye sheria ya kujitoa kwenye vya vya wafanyakazi kama cwt atujuze tutaupata wapi. Hii ni kutokana na kuputishwa kwa muswada bungeni wa kila mtu kuwa huru na kuchagua union atakayo. Asante
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,712 Aug 14, 2015 #3 Mh nadhani kujitoa ngumu. si itakufa kabisa wakiruhusu kujitoa
Felix Aweda JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 507 Reaction score 145 Aug 14, 2015 #4 sidhani. wakubwa watakula wapi?