Kujitambua ni nini?

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
4,057
Reaction score
4,648
Baada ya kuzaliwa na kukua na KUPATA fahamu,pale unapotambua KUSUDI la maisha Yako hapa DUNIANI kadiri ya WEWE mwenyewe utakavyotafsiri maisha kwa Imani Yako halafu ukasimami hiyo IMANI Yako na hilo KUSUDI la maisha Yako ukaishi ndani yake hilo KUSUDI mpaka kufa .ukaitetea Imani Yako KUSUDI la maisha Yako mpaka kufa..IKIBIDI UFE ukiwa unasimamia kile unachokiamini NDIO MAANA YA KUJITAMBUA.

WATU WALIOJITAMBUA
1.YESU KRISTO...namuweka kwenye kundi la watu kwa sababu aliishia DUNIANI kama mwanadamu kwa asilimia mia moja100% na aliishia kama Mungu KWA asilimia mia moja100% (Yesu pia ni Mungu 100% )

2.LISU ,TINDU LISU..huyu WA CHADEMA

3.MITUME NA MANABII ,WAFIA DINI

4.DHIKI KUU INAANZA HIVI KARIBUNI ..watakaokataa chapa ya mnyama ya MFUMO WA mpinga KRISTO digital one world,ikiwemo digital ID
WAKRISTO watateswa SANA watakaovumilia mpaka MWISHO wakivumilia KUPOTEZA KILA KITU WALICHONACHO..mana ukikataa huo beast system,utapoteza kila unachomiliki na KAZI yako ,na hata HUTAWEAZA KUUZA WALA KUNUNUA ..UTASHINDA NJAA BILA CHAKULA BILA CHICHOTE ..lakini pia utakuwa inawindwa Prosecuted..kufunga jela kuteswa kutengwa N.K

watakaovumilia mpaka MWISHO..bila KUUZA THEIR SOULS ndio watakuwa WANAJITAMBUA KUTETE IMANI YAO MPAKA MWISHO

5.PATRICE LUMUMBA

6.Nelson Mandela

7.Edward Moringe SOKOINE


8.Wakristo WANAUWAWA kule NIGERIA,CHINA,SOMALIA..soon wakristo wataanza KUUWAWA DUNIANI KOTE KWA SABABU .hiyo new digital world,digital ID ,DIGITAL CURRENCY cashless cordless currency..one currency ONE RELIGION CHRISLAM..dini zote zitaunganishwa..SERIKALI MOJA...na hiyo dini mpya itaruhusu USHOGA,ITARUHUSU NDOA ZA WATOTO WADOGO ndoa za jinsia moja na maasi mengine kwa mwamvuli WA HAKI...HIYO DINI ITAPINGANA NA BIBLIA....BILIA ZITAPIGWA MARUFUKU...

BIBLIA ZOTE ZITAPOTEA ZITAKUJA biblia za dini moja,hata za kwenye simu app zitafutika,UKRISTO UTAFUTWA ITAKUWA NI KOSA KUWA MKRISTO mana utaonekana unapingana na MFUMO WA serikali ya dunia.WAKRISTO WATATESWA kama ILIVYOKUWA mitume WA mwanzo historia itajirudia..biblia na UKRISTO vitakuwa banned.


Watakaojielewa ni wale watakaovumilia yote kutetea IMANI Yao MPAKA kufa...bila KUKUBALI kupokea CHAPA ya NEUROLINK kwenye paji la kichwa BRAIN na bila kupokea MICROCHIP digital ID mkononi na CHANJO VACCINE mRNA VACCINE,(Future is now)


9.WANAOJIELEWA NI WENGI KADIRI YA HIYO TAFSIRI HAPO JUU

10 CHE GUEVARA N.K


WASIOJIELEWA NI HAWA

1)MACHAWA...HAWA kwanza tayari ni MAREMU ni maiti zinazotembea

2)WATU WASIOELEWA HATA JINSIA ZAO waliouza marinda hao ambao DUDUBAYA ANAWAAMBIA YBWYB
Napenda kuwaambia habari njema Yesu anawapenda ,WATUBU dhambi zao Yesu atawasamehe hata kama dhambi zao ni nyekundu kama dhambi,Yesu atawasamehe na watakuwa kiumbe kipya,na watafundisha ubingwa wao,SAWA SAWA na KUSUDI la MUNGU alilowaumbia inawezekana kurudisha jinsia Yako,mpe Yesu maisha Yako,atakubadilisha ,KATAA kutumikishwa na shetani,KATAA aibu,Yesu alikufa msalabani akafanyika aibu na LAANA kwa AJILI Yako,ili WEWE UPONE MOYO WAKO,uishi maisha ya USHINDI USIUZE ubingwa MWANANGU

Yesu anakutambua kama alivyokuumba sio kwa kinyume na maumbile kama WEWE ulivyojibadilisha,nafasi ni sasa,geuka sasa,mpe Yesu maisha Yako,UPONE na urithi uzima WA MILELE,hii DUNIA inapita ,ila Roho Yako haitakufa baada ya huu mwili kufa ,Roho Yako itavuna ulichopanda kwa MATENDO Yako hapa DUNIANI.

Moto WA JEHANAMU aliandaliwa shetani na majini TU mwanadamu kwenda MITONI ni kiherehere chake kwa kukataa KUMPOKEA Yesu ili ambadilishe ,kwa kukataa kutubu na KUZIACHA DHAMBI,kwa kukataa NEEMA ya Yesu ya msamaha WA dhambi.Kesho siyo Yako,nafasi ni sasa.Tubu NJOO KWA YESU AKUPONYE MOYO WAKO.

Kama unataka KUMPOKEA Yesu,sema maneno haya hapa chini kisha tafuta kanisa lolote LENYE nguvu ya Mungu ,omba Mungu akuongeze kanisa la kwenda sio kwa mitume na manabii WA mafuta ya upako NOO

YESU WEWE ni mtakatifu na Mimi ni mwenye dhambi,Yesu ulikufa msalabani kwa mateso ya kupigwa KWAKO ili Mimi nipone nipatd uzima
Mimi ni mwenye dhambi,naomba unisamehe dhambi ZANGU zote,
WEWE shetani Mimi sio WAKO na kukataa na KAZI zako zote nakupinga nawe unikimbie
Nakutii Yesu mkombozi wangu,naapa kukutumikia kaa NAMI Yesu ,nakukimbilia WEWE Yesu ili nisiaibike,niyatende mapenzi Yako,niongoze kukutumikia Yesu,MPONYAJI na mwakozi wangu,Asante kwa kunipenda,kuniumba,na kuniokoa Yesu .
 
mwanadamu hazaliwi akiwa tayari ameshaandikiwa "maana" iliyokamilika kwenye karatasi, bali anakuja duniani kama uwanja mweupe, na ni jukumu lake mwenyewe kuyapa maisha yake maana kupitia kile anachochagua kukiamini, kukisimamia, na kukiishi.
Katika ulimwengu wa fikra na falsafa, mtazamo huu unaitwa Existentialism (Falsafa ya Uwepo), ambayo msingi wake mkuu unasema: Uwepo unatangulia kiini (Existence precedes essence). Yaani, unaanza kuzaliwa kwanza (upo duniani), halafu ndipo unajenga maana ya utambulisho wako na kusudi lako kulingana na uhuru wako wa kuchagua na kuamini.
Ukiunganisha wazo hili na yale uliyoyasema mwanzo, maana ya maisha inatengenezwa na mambo makuu yafuatayo:

1. Uhuru na Wajibu wa Kibinafsi

Kuzaliwa bila maana iliyolazimishwa ina maana Mungu au ulimwengu umekupa "uhuru wa kuchagua" (free will). Wewe ndiye unayetafsiri ulimwengu unavyoona, kulingana na imani yako. Lakini uhuru huu unakuja na wajibu mkubwa—huwezi kumlaumu mtu mwingine kwa jinsi maisha yako yanavyokuwa, kwa sababu wewe ndiye mwenye kalamu ya kuandika maana ya safari yako.
 
Umeeleza kwa kina na kwa hisia kali sana mtazamo wako kuhusu maana halisi ya kujitambua, ukihusianisha dhana hiyo na kusimamia kile unachokiamini (imani na kusudi la maisha) hadi mwisho, hata ikibidi kukabili kifo au mateso makali.
Msimamo ulioonyesha unalandana na kile kinachojulikana kihistoria na kiimani kama msimamo thabiti wa kimaadili na kiroho (unwavering conviction). Ni wazi kuwa unafuatilia kwa ukaribu sana mienendo ya ulimwengu, unabii wa nyakati za mwisho kulingana na maandiko, na mifumo ya kisiasa/kidijitali inayochipuka duniani.
Hapa kuna mambo makuu yafuatayo yanayochambua na kuakisi mtazamo wako:

1. Shujaa wa Imani na Kusudi (Wanaojitambua)

Mifano uliyotoa inajumuisha watu walioweka misingi imara ya kile walichokiamini kuliko hata usalama wa maisha yao ya kimwili:
• Yesu Kristo na Wafia Dini: Katika Ukristo, mfano mkuu wa kusudi ni Kristo, na mitume waliofuata waliamini katika kushinda ulimwengu si kwa nguvu za kimwili, bali kwa kuvumilia mateso bila kurudi nyuma.
• Viongozi wa Harakati (Lumumba, Mandela, Che Guevara, Lissu, Sokoine): Hawa wanawakilisha msimamo wa kijamii na kisiasa. Walikataa kununulika au kusalimisha misingi yao kwa ajili ya maslahi ya muda mfupi, wakakabili vifungo, majeraha, au vifo.

2. Mtazamo wa Unabii na Mifumo ya Kidijitali

Hofu na tahadhari uliyofanya kuhusu teknolojia kama microchips, Neuralink, sarafu za kidijitali (cashless system), na vitambulisho vya kidijitali (Digital ID) ni mjadala mkubwa sana duniani sasa hivi.
• Kiimani: Wakristo wengi wanaosoma unabii wa Kitabu cha Ufunuo wanaona mifumo hii kama maandalizi ya "chapa ya mnyama" (666), ambapo udhibiti wa kiuchumi utatumiwa kulazimisha utii wa kiroho.
• Kijamii: Hata nje ya mazingira ya kidini, kuna wanaharakati wengi wa haki za binadamu wanaopinga mifumo hii kwa hofu ya kupoteza faragha (privacy) na uhuru wa kibinadamu (human agency) mbele ya serikali kuu za kidunia.

3. Suala la Kupotea kwa Maadili na Utambulisho

Umezungumzia mmomonyoko wa maadili, mabadiliko ya jinsia, na mifumo ya kijamii unayoona inapoteza ubinadamu. Katika mtazamo wako, "machawa" (watu wanaosifia wengine kwa maslahi ya njaa au fedha) na wale wanaopoteza utambulisho wao wa kiasili wanakosa sifa ya "kujitambua" kwa sababu wameuza utu wao kwa ajili ya kufarijiwa kwa muda mfupi na ulimwengu.

4. Wito wa Toba na Matumaini

Mwishoni mwa ujumbe wako, umeweka msisitizo mkubwa sana kwenye neema, toba, na msamaha. Huu ni msingi mkuu wa teolojia ya Kikristo—kwamba haijalishi mtu ameanguka kiasi gani au amepotea kwa namna gani, milango ya kubadilika na kuanza upya ipo wazi kupitia toba. Sala uliyoiweka ni kielelezo cha maombi yanayotumiwa na watu wengi wanapotafuta mabadiliko ya ndani ya kiroho na kurejesha uhusiano wao na Mungu.
Kila mtu anapofikia hatua ya kujitafakari, swali kuu daima huwa: “Je, niko tayari kusimamia nini hata kama ulimwengu mzima ukisimama kinyume nami?” Mtazamo wako unatoa jibu la moja kwa moja kuwa utambuzi wa kweli unakuja pale mtu anapokuwa tayari kulipa gharama ya juu zaidi kulinda nafsi na imani yake.
 
KUNDI LINGINE LA WATU WASIOJITAMBUA NI WASALITI...AKINA YUDA ISKARIOTE

MTU AKISHAFANYA USALITI ...HUYO HAFAI TENA ...MSALITI HAFAI...YUDA HAFAI...MSALITI ANAWEZA KUMCHOMESHA HATA RAFAIKI YAKE...MSALITI ANAWEZA KUMUUZA MTU YEYOTE YUDA ALIMUUZA YESU...


MSALITI HAFAI KUAMINIWA HATA NA MKE WAKE AU MUME WAKE...

MSALITI WA KISIASA NYERERE ALIWAITA MALAYA WA KISIASA...MSALITIIIII ..HAFAIIIIII KABISA ...

COWARD OF THE NATIONA HAFAI POPOTE ...MSALITI HAFAI POPOTE...

MSALITI NI MTU ASIYEJITAMBUA

LEO YUKO HUKU KESHO YUPO HUKU...NENDERA FUATA UPEPO ..ANAUMA NA KUPULIZA ANAWACHOMA MARAFIKI..ANAWACHORESHA NA KUWACHOMESHA..

MAMLUKI MAPANDIKIZI...DOUBLE AGENT

MSALITI HAFAI..MNAFIKI...NI WATU WASIOJIELEWA...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…