Kujishaua mbele za wanaume misibani..

Na wengi mno ndo zao hizo
haswaa misiba ya watu maarufu
wengine husafiri kwa ajili hiyo....
 
Mwambie asisumbuke kiasi hicho awe member tu waJF kuna raia wana njaa balaa.
 

Pamoja na urahisi ila anapata watu ambao si perfect match, anakutana na hit and run na ndio maana kila siku anahangaika. Anaamini mahusiano yanajengwa na ngono kumbe ni zaidi ya hapo na ndio maana kila siku watu wanachukuliwa na wanaume na bado wanaachika (kuna kitu cha ziada zaidi ya ngono)
 
ni shogha ako! mi nadhani mna tabia za kufanana la sivyo asingekuwa na confidence ya kukueleza huo upuuzi wake, ila nadhani alikukera kwasababu pale palikuwa msibani na wewe ukataka ufiche makucha..
 
Mbona hata vyama hujinadi jaman? Mmmm. Tuambizane. Aliekuja kufanya ile mnaita kataring cjui catarini nae je?
 
huyo alipata supplementary enzi za ubinti kwa hiyo sahizi ndo anairudia si bure.
 
Kwani bongo movie huwa hamuwaoni na yale mamiwani yao makubwa kama microscope kwenye misiba
 
Hivi shemeji yako ana wake wangapi?

Hata hivyo huyo rafiki yako kwa nini ajifunzi tabia nzuri kama zako? Labda si rafiki yako wa karibu.

 
Hakuna kitu kigumu kuficha kama tabia!
 
Last edited by a moderator:
Biashara matangazo na TIMING.......................

Oyaaa dogo uwe na nidhamu, TIMING ni member mkongwe anayeheshimika sana hapa JF. Bahati mbaya zaidi ni agemate wangu..

Be warned!
 
Last edited by a moderator:
Afu mwanamke aanze kuniletea pozi wakati tunatafutwa hadi misibani.
 
Hivi shemeji yako ana wake wangapi?

Hata hivyo huyo rafiki yako kwa nini ajifunzi tabia nzuri kama zako? Labda si rafiki yako wa karibu.
shemeji yangu anamke mmoja,huyu mwanamke sio shogangu nijirani lakini hatuna mazowea ila watoto wa shemeji yangu wanasoma na watoto wa kaka yake huyo mwanamke na wala sina mazowea nae hayooo yani hoyo ndio ilikua safari ya mwanzo kuwanae msibani na ndio imekua ya mwisho..
 
 
kinachonipa wasi wasi ni hiyo confedence ya kukuambia hayo aliipata wapi? manake kama mtu hujamzoea si rahisi kumwambia hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…