Habari za hasubuhi waungwana,
Jana nilienda msibani huko magondo poromoka,nikiwa na shohangu chaajabu shoga hatulii sehemu moja mara katoka nje mara kaingia ndani nikamuliza kwani vp mbona unawasiwasi kunanini? Akanijibu hujui kama hapa ndio mpango mzima wanaumewengi hupatikana msibani, lazima nipate kichwa hapa,nilishangaa nikajiuliza ivi inakuwaje mtu unakwenda msibani halafu akili yako inafikiri mambo machafu.
kwakweli alinikera na sikurudi nae tuliachana hapo na yy msiba haumuhusu nimke wa shemeji yangu. ivi wanguwana wako watu wanao fanya haya mambo au ni huyu mdada peke yake manake sijawahi kuona kiumbe mwenye visa kama hivi...
Kile kiapo cha ndoa huwa ni kirahisi sana kuapa au ni kigumu sana kueleweka au ni kirahisi sana kusahaulika? Ni kwamba tamaa za miili yetu tumezipa kipaumbele kuliko hata uthamani wetu na future yetu? Au tunaishi tu ilimradi kukuche kesho? kwamba ukifa leo na ukifa after 30 years haina tofauti kwako???? Mwambie shemejio ajiheshimu na aiheshimu ndoa yake. Mwili huwa haushibi kamwe.
kweli mnawindwa lakini kwa kitukoo kile bora kukosa, sababu akimalizana na wewe mwenzio atachukua..
sio rafiki yangu wakaribu sana na sina mazowea nae hivyo sema shemeji watoto wa shemeji yangu wanasoma na watoto wa kaka yake huyo msichana na hao watoto wa shemeji yangu likizo wanakua nyumbani kwangu na yeye huyo mama ni salama tuu yakawaida..ni rafiki wako wa kufikia au?? manake kama ni rafiki wa ukweli ungekuwa unajua tabia zake...
Lakini kweli sehemu kama msibani na ukiwa kama binadamu lazima utakua na majozi na utakua unahisi kama uliwahi kufiwa na mtu wako wakaribu unajua vipi wenzio wanavyoumia,sasa hayo ya kujipodoa nisawa kila mtu na akili yake...lakini sidhani kama msiba ni wako kweli unaweza kujipodoa..Hayo ya blue yote "Tawire"
Waswahili wanasema 'msiba una wenyewe'
Wasio wenyewe waache wafanye wanayofanya
Ndo umejua leo msibani ndo penyewe kwa kusaka mabwana? Hushangai watu wanaupara sana siku hizi? Tena unakuta mtu anaenda kabisa kuset ama kusuka za msibani, mihereni mikubwaa.
Biashara matangazo bibie, weka embe zako chumbani zikuozee
Afu uache kusema kutafuta 'bwana' ni mawazo machafu, bila kupata bwana mwanamke ataolewa na nani???
kweli mnawindwa lakini kwa kitukoo kile bora kukosa, sababu akimalizana na wewe mwenzio atachukua..
Lakini kweli sehemu kama msibani na ukiwa kama binadamu lazima utakua na majozi na utakua unahisi kama uliwahi kufiwa na mtu wako wakaribu unajua vipi wenzio wanavyoumia,sasa hayo ya kujipodoa nisawa kila mtu na akili yake...lakini sidhani kama msiba ni wako kweli unaweza kujipodoa..
Duuuuuuu!!!!!!! hii kali yaani yeye mpango mzima kusaka vichwa?
Lakini kweli sehemu kama msibani na ukiwa kama binadamu lazima utakua na majozi na utakua unahisi kama uliwahi kufiwa na mtu wako wakaribu unajua vipi wenzio wanavyoumia,sasa hayo ya kujipodoa nisawa kila mtu na akili yake...lakini sidhani kama msiba ni wako kweli unaweza kujipodoa..
Habari za hasubuhi waungwana,
Jana nilienda msibani huko magondo poromoka,nikiwa na shohangu chaajabu shoga hatulii sehemu moja mara katoka nje mara kaingia ndani nikamuliza kwani vp mbona unawasiwasi kunanini? Akanijibu hujui kama hapa ndio mpango mzima wanaumewengi hupatikana msibani, lazima nipate kichwa hapa,nilishangaa nikajiuliza ivi inakuwaje mtu unakwenda msibani halafu akili yako inafikiri mambo machafu.
kwakweli alinikera na sikurudi nae tuliachana hapo na yy msiba haumuhusu nimke wa shemeji yangu. ivi wanguwana wako watu wanao fanya haya mambo au ni huyu mdada peke yake manake sijawahi kuona kiumbe mwenye visa kama hivi...
Ukiusoma uzi yule ni yule mdada mpenda wanaume ni rafiki yake alimsindikiza mleta uzi na sio wana mahusiano wa ushemeji (mwenye uhusiano na msiba ni huyu alieleta uzi ambapo alifiwa na jamaa yake ambae ni mke wa shemeji yake na mleta uzi)
kama wateja ndiko wanakopatikana unatangaza tuu....lakini matangazo msibani jamani?