maua abdulrahman
Member
- Aug 18, 2016
- 10
- 5
Habari ndugu zangu. Naomba kuelekezwa jinsi ya kujiunga na portal ya taesa
Hayuko serious huyo!!Nenda kwenye website yao kuna kila kitu pale
Kweli anadharau Sana huyu jamaaHayuko serious huyo!!
Kila nikijiunga inakataa nahisi labda nakoseaNenda kwenye website yao kuna kila kitu pale
Inakataa inaandikaje?Kila nikijiunga inakataa nahisi labda nakosea