Kujirembua kupita kiasi!

mmmmh.. huyu mama inabidi awe anaenda kuchoma ile kitu ya tetanus kwa mpango maana akiskip tu amekufa..! manake kavaa silaha uko juu..! kweli kukosa hela na kutafuta fitting other options mzee unaweza kupaka mavi ya n'gombe unajua...!!!!!
 
angalieni macho kama ya wale wabibi wa shinyanga
 
Dish lishayumba hapo chenga mwanzo mwisho!
 
Reactions: awp
Hapa shunusi atazisikia kwenye bomba 2 s h amon hapamuhusu
 
Apa amna ubishi. Hao masupastaa wanaojifanya wanajua kujirembua apa mjini hawawezi kukaribia hii dizaini!

Kumbe huyu ndiye mwizi wa saa yangu ya disco? Enzi hizo saa kama hiyo nimpaka uende Kenya bongo haipatikani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…