kibangubangu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 289
- 411
Fahamu kwanini self healing ni ngumu kuliko self distraction.
- Self healing ni tendo gumu sana ila linawezekana. Sababu kubwa ni:
(i) Self healing inatoka ndani ya mwili kuathiri dunia, kuathiri dunia sio kazi ndogo.... Inakupasa uwe na nguvu kubwa za kiroho zinazoweza zidi nguvu za kifizikia, kumbuka dunia ni fizikia huwezi hata kunyanyua punje ya mchanga kama haupo katika hali ya ufizikia. Hivyo ndivyo ilivyo ngumu kuinua punje ya mchanga kupitia imani ya kiroho iliyo haba.
(ii) Ili uathiri dunia kifizikia kupitia nguvu za kiroho kirahisi na upate self healing, lazima ufanye kitu kinaitwa Physical Mind-Empty process na ubaki na Spirit effecting situation ambapo ni kitu kigumu sana hasa kwa watu wa imani haba. Mind of human being inaweza kugenerate some physical effect unless it is spiritual arise to the maximum.... Sasa kwa hali ya kawaida ya binadamu ambao hawaishi katika imani zozote kufikia situation hii ni ngumu.
- Self destruction ni jambo jepesi sababu linatimizwa kirahisi na physical mind, na physical mind ndio mtawala wa Dunia.
(i) Kinachofanya self destruction iwe rahisi ni physical mind ambayo imeshuhudia matendo husika physically... Mfano mateso, chuki, lawama, n.k. Hivyo mtu ambaye anapitia katika msongo wa mawazo yule anafanya risement ya physical mind ambayo inamuandaa kufanya self destruction... Kwa sababu anakua ni mtu ambaye physically amekutana na hivyo vitu, inakua rahisi kwa physical mind ku accelerate process.